Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

2016..nimetoka home nimekuja kukaa na mchizi wangu
Getto kwao walikuwa na nyumba mbili
Yeye na getto lake kwao safi kidogo na sisi
Safi kidogo tumejuana ukubwani

Basi nikazoeleka hadi kwao ikawa ni kama kwetu
Kwa tabia nilizo kuwa nazo ikawa hata km sipo nimetoka wataniwekea chakula tu
Na nitaulizwa ulikuwa wapi? Mbn ujaaga
Basi nitakula nitarudi getto
Tumeishi hvyo hadi miaka 2 baadae huyo jamaa yangu alikuwa hawez kula hadi mm niwepo na mm ni km yy hata nikipata mchongo wwte lazma nimpe ela kidogo
Tukawa km ndugu nikaja kuajiriwa hadi sasa
Nina familia ya mtoto 1, sijaacha kwenda
Na wananipenda hadi leo hii,kila nikipita kawe mitaa ya maringo karibu na uwanja wa Tanganyika packers lzm nishuke kwenye gari nikasalimie nimekuta famikia imeongezeka kuna wajukuu wengi pale bs lazma nizame mfukoni niwanunulie japo
Juice juice au ice cream wale wajukuu
Kudumisha love na kulipa fadhila kidogo
Hakika mungu ni mwingi rehema.
Wewe ni binadamu dogo!
 
Graduate mnapitia vipindi vigumu Sana ...pole Mkuu wadau wengi wa JF tupo dsm

Jaribu kwenda msikitini huku ukitafakari kuja hapa dsm huku ndo Kuna fursa na watu sio wabaya .

Graduate mtegemeeni Sana Mungu whatever what you going through.
Wengi wanachagua chagua kazi,kujitenga na wahuni kunawanyima michongo
 
Hatar sana,vijana wanakazn kuonesha umwamba chuo,mwisho wanamaliza Account znasoma NEGATIVE BALANCE 😅😅😅
Mtu hasiye na Kazi wala Ajira rasmi au isiyo rasmi ananunua simu ya laki tatu kwa kutumia Boom then akimaliza chuo account Inasoma 0-0 hanakosa hata pakuanzia while anafanya yote haya anakuwa anazijua Hali zao za nyumbani kuwa masikini wakutupwa .
 
Usikute ni jambaxx .hizi huruma sometimes zina cost. Huu ujasiri wa kuja JF kwa issue kama hii katoa wapi
 
Pole kpnd Cha kumalza chuo kinakuaga kigumu sana me mwenyewe nlwai fukuzwa kijanja na shosti angu ...Iyo siku niliishia lala hospitali chumba Cha sindano[emoji846]..Maisha ni safari jamani ...
Mkuu sasa chumba cha sindano ulifika vipi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nadhan wana Jf walimsaidia japo kidogo kidogo japo hatoi mrejesho.

Nasita kumhukumu mapema ila visanga vya kusaidia watu Jf vina historia zake na vinataka umakini
 
Duniani Kuna mengi sana,,Mimi nakumbuka nilitoka Home vijijini kuelekea Mwanza Kwa ajili ya utafutaji, na nilipanga kufikia Kwa brother,,,,Sina simu ila Nina Namba mkononi. KUFIKA Mwanza nampigia hapatikani,,,Tafuta Hadi maeneo ya kazini kwake wakaniambia amahamia Bugarika.

Nilienda Bugarika namuulizia hayupo,,, daaaaah ndio saa MBILI usiku Sina pa kwenda,,,,niliingia na begi langu kwenye Pagare Fulani hv nikaangalia mazingira nikaona ok Leo nauweka hapa,,,,,ahahahaaha ila,,,,,Acheni Mungu aitwe Mungu nilisaidiwa na mtu ambaye hata simjui,,,,bro ningekuwa Dom ningekusaidia!!!!,🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom