Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Vijana tambueni maisha ya chuo uliyoishi na mwenzio siyo maisha ambayo wote mnaenda kuishi baada ya chuo hilo mjue kuna watu wanabadilika kutokana na mazingira sasa kama wewe ubadiliki matokeo yake ndio haya

Mpo chuo life style yenu ni kusoma na bata mbebana gheto mpo wanne au watatu hayo ni maisha ya kupitia tu kuna mwingine anaishi hivyo akijua haya ni maisha ya mpito do mkiachana hapo kila mtu anaenda kuishi maisha yake ngoja nitoe kisha kimoja

Kuna jamaa tulisoma naye chuo maisha yalikuwa yakisela sana tena sana mlala gheto hili kesho kule mmeamkia club nk kwakua chuo basi shule ikaisha kila mtu akarudi kwao ikabadi mawasiliano ya sm tu kumbe moja wetu yeye aliendelea na maisha yake ya kisela hakutaka badilika watu wana familia tayali nk yeye bado usela haujamwisha

Akawa anakupigia sm oya nakuja uko unasema pouwa karibu siunajua ni jamaa pengine ana issue yake unampokea anakuja kwako anakuta una familia unampa chumba nalala shemeji yake anamkarimu vizuri unashangaa mwamba anaanza kutoa na ratiba ya msosi shem pika hiki leo kwakua mgeni unaona pouwa aisee mwamba wiki yupo

Wife anaanza kuuliza uyo hana kazi au kaijia nini unasema ngoja taongea na jamaa unatafuta mda ana muuliza mzee vipi unasikia nimekuja refresh mind hapo ndio unachoka yani baba jitu zima halina muelekeo unapigia sm jamaa wanakwambia uyo ndio mikato yake hapo hata nauli utaombwa alikuwa kwangu uku amekaa mwezi mzima nikamtimua sasa ona mtu wa hivi unamfanyaje kama si mtimua
 
wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
Ukijiuliza sana maswali huwezi saidia ndg.
Fanya kama kwa Bwana
 
Haya ni Makasiriko. Why?
Hapana Komeo, hapo pana ukweli. Kuna bestiangu yuko Dar, sasa siku moja nikatoka safarini nje ya Tz, niliwasiliana naye vizuri kuwa nitafika saa nane usiku na Ethiopian. Akaniahidi kunipokea maana nitafika usiku sana. Kwakweli nilijihisi poa maana ni jamaa tumesoma wote since Primary na anakazi nzuri tu. Kesho yake nilikuwa naunganisha flight kwenda Mwanza. Sasa nafika Dar ile saa nane usiku kwani jamaa anapokea simu nilipiga kama mara tatu hakupokea na kesho yake hakunitafuta may be alipitiwa. Nikawaza nikasema mambo gani haya wakati nimechart naye past three hours nikiwa Addis. Watu wa Dar huwa nawacheki tu japo sina kinyongo na sitakuwa nacho. Uzuri nilikuwa vizuri so nikaongea na tax driver mmoja akanipeleka Hotelin na life likaendelea. Ila watu wa Dar usiwaamini hata kwa nukta moja. Usitoke mkoani kufuata mshkaji Dar, utalizwa mno.
 
Hivi kwanin wapo hivyo ni wachoyo sana au unakarimu ni zero tu?
 
[emoji3][emoji3] wengi ni unafiki waonekane wema, ni bora mtu umwambie sitaki/siwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Komeo, hapo pana ukweli. Kuna bestiangu yuko Dar, sasa siku moja nikatoka safarini nje ya Tz, niliwasiliana naye vizuri kuwa nitafika saa nane usiku na Ethiopian. Akaniahidi kunipokea maana nitafika usiku sana. Kwakweli nilijihisi poa maana ni jamaa tumesoma wote since Primary na anakazi nzuri tu. Kesho yake nilikuwa naunganisha flight kwenda Mwanza. Sasa nafika Dar ile saa nane usiku kwani jamaa anapokea simu nilipiga kama mara tatu hakupokea na kesho yake hakunitafuta may be alipitiwa. Nikawaza nikasema mambo gani haya wakati nimechart naye past three hours nikiwa Addis. Watu wa Dar huwa nawacheki tu japo sina kinyongo na sitakuwa nacho. Uzuri nilikuwa vizuri so nikaongea na tax driver mmoja akanipeleka Hotelin na life likaendelea. Ila watu wa Dar usiwaamini hata kwa nukta moja. Usitoke mkoani kufuata mshkaji Dar, utalizwa mno.

Maisha ya sasa hakuna mtu anaetaka usumbufu. Mimi binafsi nikisafiri hata kama nnakoenda nina ndugu lakini nahakikisha nimejipanga kujihudumia mwenyewe kwa siku zote ntakazoishi huko. Ndugu unafanya kuwajulisha tu bwana niko mkoani kwenu ntapita jioni kusalimia hapo nyumbani.
 
Ungeweza kupata msaada ila kwa hali ilivyo na dunia yetu hii,uaminifu umekuwa ni mdogo sana...
 
Undekuwa Muislam ungeenda msikitini ukaweka begi, unalala asubuhi unawahi mishe sehemu zingine.
 
Tumesikiliza upande mmoja...

Tunaweza tukaona jamaa amekosea kumleta dem wake hapo kwake kumbe shida iko kwako....

Lazima tu-balance hii habari.
Boss, huyu Kaomba hifadhi, sio lawama kwa aliyemfukuza.
 
Mwambie mtu kuwa sipo au nna mambo mengi na sio kukubali halaf hutokei
Nyie mnalazimisha sana.mtu unaambia kisomi....sasa hivi ratiba zangu zipo tight sana. Unajibu ...nikija wala sitokusumbua sikai sana week 2 tu nashughulikia mambo yangu naondoka. Sasa kwa kuwa sisi hatupendi kupoteza muda tunakubali then....mnayaona.
 
Nenda kanisani au msikitini
mama D, mpe kijana wako hifadhi. Natambua fika unafahamiana na watu wazito wazito wengi tu wa ccm pale Dodoma!

Kijana anahitaji kukaa siku kadhaa kwa mwenyeji wake mpya, kabla ya kutafuta nauli ya kurudi alikotokea. Si unaukumbuka ule mfano wetu wa Msamaria mwema kwenye Biblia? Tumia hii fursa ili uweze kupenya kwenye tundu la sindano.
 
hivi unawajua wenye tabia za uparasite? scenario zipo nyingi sana, mimi haitotokea kuishi na mtu ghetto moja, hata kushare sitting room na mwanaume siwezi, watu ni wabaya, nshamkaribisha mtu baada ya a level tunapiga tempo za kufundisha, napata mshahara napendeza san, mwana tuko nae job, sasa nikawa mzuri wa kulenga nguo pale dox, makunguru, i was good, sasa msela badala ya kuuliza tu kumbe wivu umemjaa kinoma, mimi nisijue, kumbe moyoni anaushindani. kama best nikamkaribisha nyumbani, ile tumelala usiku jamaa nikastukia kaamka anatoa viatu, raba zangu uvunguni anakagua na kushangaa, Mungu alinipa subra, ila baadae kumekucha nikamwambia nimeona kila kitu ulichofanya, dhamira yako nini, mimi nina roho nzuri unachotaka nikuuzie sema tu mi ntatafuta kingine usiwe na shaka. damn kuna watu akiwa mchawi hawasaidiki kamwe. si kila mtu ni mbaya ila wabaya husogelea wenye nacho ili wafanye yao.
Stori yako ni nzuri lkn kuna ushamba ulikuwa nako yani yeye kukagua hvyo viatu vyako kosa n nn?? Wala hakuiba
 
Back
Top Bottom