Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Hii inanikumbusha story iliyobamba humu jamvin ya JF person of the year 2022 master mpwayungu village safari ya lindi

Huyo mama na watoto walikuwa malaika wajibadilisha. Na ilishapangwa pindi tu tangu uzaliwe itakuwa hivyo.
Mtoto wake mmoja alikua ana tundu kwenye moyo. Sijui hali yake inaendeleaje..nishamtafuta sana huyu mama sijampata
 
Umenikumbusha kipindi fulani naenda Mkoa X. Nimefika usiku saa 7 alietakiwa kunipokea hapatikani kwa simu, Sema kuna mama nilimsaidia kulea mtoto wakati tupo ndani ya gari wakati nimeshuka sijui nifanyeje niende wapi yule mama akaniona akaniomba nimsinfikize kwake coz ana mizigo na watoto 2 so hawaamini madereva bajaji wanaweza kumuibia.

Aisee sikuamini,Mungu anatoa msaada pale plan zako zote zimefeli hujui ushike lipi. Btw nilienda kwake nikashinda mpaka jioni ndio niliondoka. Sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae tena
Huyo mama na hao watoto wawili ni malaika walikuwa wamejibadilisha. Ilishapangwa pindi tu ulipozaliwa itakuwa hivyo
 
wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
 
Akiwa wazi

Kesho namsaidia anasafiri mpaka nyumbani kwao.
Au ni hifadhi ya muda gani anahitaji?
 
Imenikumbusha kuna wakati nilitoka dsm to mwanza kwenye lile basi kuna dogo alikuwa amepanda kwa lift tu maskini imagine huo mwendo dogo kakaa pale kwenye sakafu karibu na mlango watu wakishuka stendi anakaa kidogo kwenye siti kupoza makali.

Dah! Haya maisha haya basi tu tuvumilianeni.
 
wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
We msaidie tu mkuu, sidhan kama nia ovu alikutegeshea wewe.
 
ukiona tukio kama hili hawana urafiki, kuna mmoja kaungwa na jamaa kwa mwenzie, au kuna wale matozi wasiochangia chochote pesa wanazo, au uko bwege lakini ni nyoka unatamani demu wa mwenizo, au mdokozi, au story za kujigamba nyingi, kuvaa kwing, bando la simu full, lakini gheto huna mchango wowote, unakaa kwangu halafu unanisengenya san. huyu mwamba anatakiwa aongeze nyama kwenye story yake ikamilike
Mkuu ukiwa huna chochote huwezi kupendwa na mtu.

Kuna baadhi ya marafiki wanakupenda ukiwa na vitu.
 
wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
Kwetu ni Dar ndugu kuhusu kuwasiliana na nyumbani hatufanani hali ya maisha ndugu yangu Kama wao tu kula yao nyumbani shida wataweza kunitumia mimi ela nirudi Dar nimewaambja lakini hawana pesa ya kunitumia.
 
Mkuu ukiwa huna chochote huwezi kupendwa na mtu.

Kuna baadhi ya marafiki wanakupenda ukiwa na vitu.
Umenikumbusha kitu, niko na best bro alinitangulia darasa moja kasomea linguistic chuo, akiwa chuo kapiga sana pesa za tempo shule za dsm, nilianza life baada ya chuo kwa msoto sana, ndipo nikajifunza kama huna impact hutafutwi, alikuwa muwazi mwamba huna impact huwezi kutafutwa, mwamba alikuwa anamla mtoto wa mkuu fulani wa mkuu wa mkoa wa dsm mzee Kando, thamani yako itaaonekana kwenye michango ya Harusi tu, hata mende wasiojua ulipo watakuja kama omba omba. Sasa mwamba nawachana mende wote huku naburuza line.....tutafute pesa, tule maisha, tuwe na huruma, na upendo kwa wanaostahili. hainaga majivuno ila ukweli na hisia viwe wazi, we live once enjoy every moment at ur disposal. Maisha hayataki hasira slow down, make money, do mortgages, do bonds, invest, joke and laughs
 
Back
Top Bottom