Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Nimewasiliana na jamaa kua nafikia kwake baada ya kumaliza chuo ili nikatafute maisha coz nishawsh kwenda kumsalimia kwake napajua. Usiku ule nafika mchana wake ndo ametoka kuhama. Kmmk, ikibidi nilalr kwenye kike chumba alichotoka. Wenyeji wa pale walkua wananifaham haikunioa ugumu. Nkatanfika nguo chini nkalala kesho ake nkalipia chumba kingine nkaanza maisha.

Nilinunua godoro la matambala nkalalia around miez 8 iv mbaka mbavu na nyonga zikawa na maumivu ya mwaka mzima.

All in all maisha ni zaidi tunavyoyafikitia. Tunapitishwa kwenye tanuru la moto iki tuive, hatupaswi kulalamika. Vaa ujasiri, chukulia kama ni sehem ya maidha yako ili uwe mkomavu na wala usimchukie huyo jamaa.
 
Dodoma atakayeguswa kunisaidia hifadhi kwa siku kadhaa nikitafuta nauli ya kurudi nyumbani. Naomba sana na natanguliza shukurani.
Nyumbani kwenu ni Dar? Kwa hiyo hapo kwa msela ulikuwa huna kibarua? Kilichokutoa nyumbani kwenu ni nini?
 
Back
Top Bottom