The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,145
- 8,028
Au wanaweza wakapata wengine kabla ya wewe Kupata, so wakipata unakuwa na uhakika wa Kupata kipindi hicho hichoZipo ila no chill in Africa , sometime unapata msg mda mwingine mzigo upo no notification
Kweli kabisa,nashangaa wanaopondaLabda niweke suala moja very clear, watumishi wanaulizia mishahara kwa sababu ndio kitu ambacho wame-trade muda wao kuwa watumishi, sidhani kama ni sawa mfanyabiashara akija na kumsema mtumishi ambae anasubiria mshahara, kila mtu anatumia mda wake kwa namna aliyochagua kupata kipato. Whether employed or self employed they are both employed tofauti ni boss tu.
Unaniachaga Sana hoi na neno lako every day is Saturday.....Utakuwa TPDF siyo bure, kada zingine, msg settings ni vibration na highest volume kila msg inaangaliwa [emoji23]
Everyday is Saturday................................😎
Utakuwa si mtumishi wa umma. Watumishi wa umma tunaelewa tayariUna maana gani kusema umechelewa? Leo si ni tarehe 23? Au mie ndio nimesahau tarehe[emoji848][emoji848]
Unadhani mtu akistaafu ndio salio linakata? Kuna haja ya kuwaelimisha hawa walio nje ya utumishi wa umma wajue walau kidogo mifumo ya serikali inavyoendaHii ndio tabu ya kuajiriwa,akili yote inafikiria kuingiziwa salio,siku tutakayostaafu sijui tutaishije mitaani,
Lakini si unalipwa na serikali na serikali ni watuWatumishi mnajidhalilisha sana humu, mshahara wa mtu siku zote ni siri.
Mshahara ni haki, sio hisani. Waache wafanyakazi waudai. Haina uhusiano na kuwa na extra source of income or not.Matatizo ya single source of income, mtu mshahara ukichelewa kidogo tu hauna pakugusa, watumishi tujiongeze vyanzo vya mapato viwe vingi
Ha ha haaa. Usikute hata haupo kwenye government payrollCRDB ndo imeingia saivi.
Sasa Kama ww ndo unaduka lako la nguluka kaa utulie ndo chanzo chako Cha mapato ambacho kinategemea mtumishi apokee mshahara ndo aje anunue.. tuwe na uelewa maisha tunategemeana unafikir wote wangekuwa watumishi Nani angetuuzia mchele au nguluka....Matatizo ya single source of income, mtu mshahara ukichelewa kidogo tu hauna pakugusa, watumishi tujiongeze vyanzo vya mapato viwe vingi