Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Naona unafanya utani wakati hili Ni swala la aibu, nimekosa usingizi usiku kuchaSasa Huyo Mswagaji wako anafikiri kusimama kwako madhabahuni na flashi ndio vingekupunguzia upwiru,,,mtafute Mama Mchungaji nae umkaze!!!
Ahsante πTubu kwa Mungu wako acha kujilaumu as ishatokea. Na kujua hakuna mkamilifu humu duniani
Huyo mchungaji yeye hana dhambi? wewe tubia kwa Mungu wako inatosha, achana na kuwaza watu kama weweSafari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".
Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!
Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu π©
Kwani huyu mchungaji yeye hat.mbi?Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".
Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!
Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu π©
πππHuyo mchungaji yeye hana dhambi? wewe tubia kwa Mungu wako inatosha, achana na kuwaza watu kama wewe
Ana mke kabisaaKwani huyu mchungaji yeye hat.mbi?
Huyo mchungaji mwenyewe anawala warembo waimbaji tena ofisini hapo kanisani.Naona unafanya utani wakati hili Ni swala la aibu, nimekosa usingizi usiku kucha
Pole, wanadamu tunatamaa ila unatakiwa tuzishinde kwani tamaa na heshima hazikai pamoja. Ushauri wangu, tengeneza na Mungu wako pia katengeneze na kanisa na mchungaji wako pia jitahidi uoe ili uepuke uzinzi kwani unajiletea laana na vifungo. Kufanya dhambi yoyote ikiwemo huo uzinzi huku unasimama madhabahuni ni hatari sana. Ningekuwa mimi ndio huyo mchungaji, ningekutenga na kukufukuza rasmi kanisani au lah, ningekusaidia kwa kukurudisha kundini na kukufungisha ndoa na huyo bintiπππππππ€£Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".
Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!
Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu π©
Mnamfariji kwa kumshauri upuuzi mwenzenu na kushindwa kumwambia ukweli achague moja kumtumikia Mungu au Uzinzi. Biblia ipo wazi, kuliko kuzini ni bora aoe tu.Lau kama ungefunuliwa pazia kujua anayoyafanya mchungaji wako basi ungemtemea hata mate usoni.
Swali fikirishiKwani huyu mchungaji yeye hat.mbi?