Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩
 
Huyo mchungaji yeye hana dhambi? wewe tubia kwa Mungu wako inatosha, achana na kuwaza watu kama wewe
 
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩
Kwani huyu mchungaji yeye hat.mbi?
 
Pole, wanadamu tunatamaa ila unatakiwa tuzishinde kwani tamaa na heshima hazikai pamoja. Ushauri wangu, tengeneza na Mungu wako pia katengeneze na kanisa na mchungaji wako pia jitahidi uoe ili uepuke uzinzi kwani unajiletea laana na vifungo. Kufanya dhambi yoyote ikiwemo huo uzinzi huku unasimama madhabahuni ni hatari sana. Ningekuwa mimi ndio huyo mchungaji, ningekutenga na kukufukuza rasmi kanisani au lah, ningekusaidia kwa kukurudisha kundini na kukufungisha ndoa na huyo binti😁😁😁😁😁😆🤣
 
Back
Top Bottom