Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".
Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!
Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩