Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya uchafu kweli Restless? Nilikua nakuamini nakupa nafasi ya kuhudumu madhabahuni kumbe na wewe Ni mshenzi tu? Nipe flash ya Kanisa niondoke".

Baada ya kumpa flash na kuondoka, nilienda bafuni kunawa uso ili Kama Ni ndoto ikate lakini haikuwa Ndoto!

Kwa kweli sijalala, nimewaza Hadi sasaiv. Heshima niliyojipatia kwa muda mrefu imepotea kifala kwa dakika 2 tu 😩
Huyo ndio shetani ndugu,tubu tafuta mke uoe IPO sababu ni Kwa Nini bado tamaa za kimwili zimekuandama Kuna vitabu ntakutumia usome utaelewa na Mungu akusaidie
 
Mchungaji wangu ukiwa unazini anafanamu ,siku unaweza kuitwa mbele
 
Wife alianza kusema kuwa namtaka beki 3,na mimi nikaona isiwe tabu,acha nimchakate,huyo Binti na mwenyewe mimi ndiye nilimuongoza Sala ya Toba.Basi siku kasafiri nikajaribu kutupa kete ,Binti bwana alikuwa na msimamo na Mungu kachomoa KATU KATU ,basi nikasema Kwa kuwa nimelianzisha acha nieendelee kumkazia huenda nikawini.Basi huko wife alipooenda akaona picha live ya matukio yanavyoendelea home,akarudi na mimi yule Binti baada ya kugoma nikamwambia ache iwe Siri,hata iweje usimwambie mtu.Wakati huo huo tukawa Kuna siku tulienda church nikasikia mhubiri anasema Kuna mtu upo hapa naomba ,uje mbele Kuna mabinti mpo nao mnawataka kama Kwa nguvu ,lakini wao hawataki ,njoo mbele......
 
Kwani shetani alikuwa wapi hujamsingizia?

Mwenzio Adam alimsingizia Eva, Eva yeye alimsingizia Nyoka
 
Siyo vzr kuinajisi madhabau ni hatari Sana Kama Kweli unahudumu madhabau I na Bado unafanya upumbafu huo acha Mara moja kuhudumu pale kwani majibu ya maombi ya watu yatacheleweshwa kujibiwa na mungu kwa kuwa mnanmkasirisha sna

Ni vyema ukawa msafi na kuoa pia Mara nyingi siwapendi watu wanaoshobokea madhabau Ni hatari kwa ukuaji wa kanisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa unahudumu madhabahuni?

Afadhali mume mnakataa iwapo mnakuwa bado hamjajikana mazima!

Kukataa sio kosa!

Ona sasa!

Ndio saingine unakuta connection ya upako inagoma sababu ya mambo kama hayo!

Hata waimbaji wengine waongoza Kusifu na kuabudu ,

Unakuta connection ya upako inakosekana kabisa inakuwa kama mtu uko kawaida popote jamani!
 
Ni kweli safari ya mbinguni ni ngumu. “Ombeni msiingie majaribuni”. Nenda kwa Mchungaji na mwombe akuongoze sala ya toba na umaanishe kweli. Utatengwa lakini kubali tu aibu. Bora aibu kuliko kukosa uzima wa milele na kwenda Jehunum. Njia ya mbinguni ni nyembamba na ni wachache wanaweza kuipita. Ndiyo maana Yesu alisema “ Duniani mnayo dhiki lakini jipeni Moyo, mimi nimeushimda unlimwengu”
 
wakati Mimi naota ndoto ya kutembea uchi mbele za watu ulisoma tu hukuchukua chochote sio
 
Back
Top Bottom