Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Waungwana hamjambo?
Nimetoka kazini saivi, mke wangu akaniita jikoni niende kuangalia alichopika.
Nikajivuta nikaenda mara nasikia notification ya Whatsapp ndindindiii
Kufungua boss katuma voice note nikajichanganya kufungua, nimekula mgomo huo, ikabidi nipozi kwanza isiendelee.
Mke wangu akaniuliza nini, ikabidi nizuge tu.
Dah! Hata hamu yakula imekata
Wanaume tutafute pesa hii hatariiiii