Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Waungwana hamjambo?

Nimetoka kazini saivi, mke wangu akaniita jikoni niende kuangalia alichopika.

Nikajivuta nikaenda mara nasikia notification ya Whatsapp ndindindiii

Kufungua boss katuma voice note nikajichanganya kufungua, nimekula mgomo huo, ikabidi nipozi kwanza isiendelee.

Mke wangu akaniuliza nini, ikabidi nizuge tu.

Dah! Hata hamu yakula imekata

Wanaume tutafute pesa hii hatariiiii
Utoto raha sana
 
Umeshagongewa na huyo boss. Kama mnawatoto faster kapime DNA.

Nyau
 
Sawa, ila Anza kumshauri huyo unaemwita baba Ako na mwambie mama Ako akuonyeshe baba Ako wa kweli maana hiyo michezo nahisi alianza mam ako
Acha makasiriko. Unagongewa na kulea watoto siyo wako halafu unajiona mmmjaaaanjaaa.

Kammon
 
Sijui kwa nini sijaelewa!

Umekula mgomo?

Tutafute pesa?

Hiyo voice note ya bosi ilikuwa inahusu nini? Wengine ishu za fasihi na kufungua codes kunatupiga chenga. Kama umeamua kusema kitu sema ueleweke!
Afya ya akili
 
anamaanisha boss kamtamkia maneno makali ambayo yangemdhalilisha mbele ya mkewe.

Ila we mzee umenichekesha sana 😂
Kwahiyo bila miwani uoni ?

Shikamoo babu.

Ila wametoa sababu, kwamba kuna watu wanasabisha distraction barabarani, foreni kisa kupiga picha katika iyo spot ambayo mlima unaonekana vizuri.

Kama unataka kufanya utalii lipia, mbona cheap $14 tu.

Sijui kwa nini sijaelewa!

Umekula mgomo?

Tutafute pesa?

Hiyo voice note ya bosi ilikuwa inahusu nini? Wengine ishu za fasihi na kufungua codes kunatupiga chenga. Kama umeamua kusema kitu sema ueleweke!

Shida kabisa,umeandika nini sasa?,watanzania wengi hawajui kujieleza wala kujitetea,nawewe ni miongoni mwao

Haieleweki, kuw smart basi uongee kitu kinacho eleweka

Umeelewa?

Kama umemuelewa huyu jamaa unashida kichwani

Mkuu ndo umeandika nini?
Nina uhakika huyo boss wako akiliona hili bandiko lako, sio kukulisha mgomo tu, hadi kazi atakufukuza.

Sijaelewa chochote zaidi ya jikoni

Chizi kapora simu ya dokta

Hiyo ofisi ina hasara kuwa na mtu kama wewe

Utoto raha sana

Huenda huyu ndo alieteuliwa akafa siku ya Leo kafufuka

Kwa mwendo huu ndio maana marhm analamba teuzi wakati sisi tupo.....

Nimetoka kapa!

🏃🏃🏃🏃

Hata mimi sijaelewa. Najaribu ku connect anamanisha nini nashindwa kabisa kabisa🤣

Watanzania wengi ni vichaa
Acha makasiriko.
Afya ya akili

Yaani kazini wamekupa mgomo ama vipi
 
Back
Top Bottom