Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Sio kila mtu anaelewa misamiati mipya ya ofisini kwako. Mgomo haendani na story yako
 
Anamaanisha KAFOKEWA 🤣🤣🤣
Yaan we una uwezo mkubwa saana una thinking capacity kubwa..

hao wengine hawajui hata kuunganisha dot.

ni mtu wa aina gani unataka udadavuliwe Kila kitu yaaan mi niandike pages 50 hapa kuelezea kitu kidogo kama hiki
 
Sio kila mtu anaelewa misamiati mipya ya ofisini kwako. Mgomo haendani na story yako
Hujui maana ya mgomo??

Tafuta kamusi ya kiswahili andika neno mgomo uone watakuletea nin!?

Mbona watu ni wa ajabu saana, eti misimiati mipya hujuwahi kusikia neno mgomo????

Wengi hamna concentration kwenye vitu vyenu sio hapa tu hata kwenye mambo mengine
 
Kagombezwa au kafokewa na boss wake kwenye voice note.
Kaifungua mbele ya mkewe akasikia anavyo gombezwa kama mtoto.
 
Sijui kwa nini sijaelewa!

Umekula mgomo?

Tutafute pesa?

Hiyo voice note ya bosi ilikuwa inahusu nini? Wengine ishu za fasihi na kufungua codes kunatupiga chenga. Kama umeamua kusema kitu sema ueleweke!
Ata mm sijamuelewa,nilijua boss ni ke then anatembea naye afu wife kasikia voice ya mahaba😂😂
 
Mkuu punguza stress uzi mzima unatukana wasiokuelewa badala ya kurekebisha pumba ulizoandika
Hujui maana ya mgomo??

Tafuta kamusi ya kiswahili andika neno mgomo uone watakuletea nin!?

Mbona watu ni wa ajabu saana, eti misimiati mipya hujuwahi kusikia neno mgomo????

Wengi hamna concentration kwenye vitu vyenu sio hapa tu hata kwenye mambo mengine
 
Basi wanawake walivyo nae ataanxa kukufokea apo anamtaman boss wako ata wazipige
 
Back
Top Bottom