Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Nimefungua voice note ya boss wangu mbele ya mke wangu

Yaan we una uwezo mkubwa saana una thinking capacity kubwa..

hao wengine hawajui hata kuunganisha dot.

ni mtu wa aina gani unataka udadavuliwe Kila kitu yaaan mi niandike pages 50 hapa kuelezea kitu kidogo kama hiki
Njaa zinawasumbua 😂
Mimi mbea mfungua code, vitu km hivyo huwa naflow navyo
 
Kagombezwa au kewa na boss wake kwenye voice note.
Kaifungua mbele ya mkewe akasikia anavyo gombezwa kama mtoto.
Ndo ilivyo kiongozi,
Wew ni miongon mwa watu wenye uwezo mkubwa na unafaa kufanya kaz mahala.

Maana kule sharti zake uwe fasta kwenye kudadavua yaan uambiwe neno Moja then kichwan utengeneze sentensi kumi na unazifanyia kazi.

Hao wengine maboga tu alafu wanasema sijui kijieleza yaan wanataka tuelezane kama primary washamba saaan
 
Back
Top Bottom