Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Sijui kwa nini sijaelewa!Waungwana hamjambo?
Nimetoka kazini saivi, mke wangu akaniita jikoni niende kuangalia alichopika.
Nikajivuta nikaenda mara nasikia notification ya Whatsapp ndindindiii
Kufungua boss katuma voice note nikajichanganya kufungua, nimekula mgomoooo huo, ikabidi nipozi kwanza isiendelee.
Mke wangu akaniuliza nin, ikabidi nizuge tu.
Dah! Hata hamu yakula imekata
Wanaume tutafute pesa hii hatariiiii
Waungwana hamjambo?

Hili mama nalo itabidi akalitazame kwa kweli 😁serikali haiko makini ona sasa mwananchi anavoteseka
kula mgomo umeshiba hauna hamu ya chakula cha kawaida au ndo unakulaje
Kiongoz Kwa kichwa huko unategemea uelewe Nini?Sijui kwa nini sijaelewa!
Umekula mgomo?
Tutafute pesa?
Hiyo voice note ya bosi ilikuwa inahusu nini?
Niko na miaka 78.Kiongoz Kwa kichwa huko unategemea uelewe Nini?
Wavulana wa daslam wanatusumbua sana hapa ndani mazee...🤣Sijui kwa nini sijaelewa!
Umekula mgomo?
Tutafute pesa?
Hiyo voice note ya bosi ilikuwa inahusu nini? Wengine ishu za fasihi na kufungua codes kunatupiga chenga!
Kvip yaani ??Umeelewa?
Jamaa kaandika mashudu yaan atakaemuelewa asisahau kuonana na Balozi wa MilembeKama umemuelewa huyu jamaa unashida kichwani