Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
537
Reaction score
556
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.

Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya Burnaboy [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

1624952755698.png

Zaidi soma: BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua
 
Daa mkuu kwel umefurahi yaan mpaka umeamua kuweka uzi kabsa,hyo furaha imezidi kikomo[emoji119]
Kweli kabisa kuna watu wana roho mbaya.

Binafsi namkubali D'mond kama kijana mpambanaji na anayehustle kuboresha hali yake. Kwa hilo namuombea.

Ninachokwazana naye ni pale anapokubali kujiingiza kwenye siasa za kishamba. Si lazima msanii ashiriki siasa za majukwaani. Unaweza kusapoti upande wako kwa njia nyingine hasa ukizingatia wapenzi wako wanatoka vyama vyote. Mbona kwenye dini anafanya vizuri?

Yeye ni Muislam aliwahi kusikia Wakristo wakimlalamikia kuhusu kufuturisha na kujenga misikiti? Lakini Leo aanze kushiriki mihadhara ya kukaahifu dini nyingine aone madhara yake.
 
Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!
Hata Mungu hapendi wajikwezao!
Maana ajikwezae hushushwa!

Anachoshindwa kuelewa shughuli ni watu, na watu ukiwaonesha jeuri wanapita hivi!

Mbona matajiri wengi tu hapa bongo wanampunga mrefu hadi wanaumwa lakini wapo kimya?.

Mara ajitangazie wasafi yake, wakati kina kusaga na mkewe wamekaa kimya tu, No need to prove ur rich!...
Siku kusaga akitangaza hadharani hisa zake za wasafi 58% na mkewe kusaga 32% na diamond 10% Ataficha wapi sura yake?

Kwanza diamond hizo safari za inje anapopita airport madansa wake wana mibegi mizito yanini?
Achunguzwe sana asijekuwa anasafirisha madawa kwa mgongo was usanii
 
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania...
Nimesikitika sana DIAMOND kukosa tuzo, tuzo ingemkumbusha kuwa siku moja hizo fedha na mali ataziacha WATU WAGAWANE KWENYE MIRADHI, tena ndugu zake ambao hata siku moja hajawahi kuwasaidia watagawana.
 
Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!
Hata Mungu hapendi wajikwezao!..
Mkuu Diamond ni celebrite hayo anayo yafanya ya kuonyesha mihela kujigamba ni moja ya sehemu ya kazi yake inavyotaka, hayo mavitu ndio yanaongeza thamani ya msanii hata makampuni yanapomfuata kutangaziwa bidhaa zao hayaendi kinyonge,

Nenda kaangalie kwenye page ya wizkid juzi kati hapa anapost mihela yake tu,
Hivi haumuonagi Mayweza anayo yafanya, kina Davido na wengine kibao.,
kwahiyo mkuu diamond kusema wasafi ni yake (Hata kama kwenye makaratasi haipo hivyo) kwako ni kosa? Kwani hiyo radio/tv inatumia jina la nani? Unaanzaje kusema wasafi sio yake wakati unaona inatumia brand name yake(diamond)

Kwahiyo diamond kuonyesha anahela wewe kwako nikosa kubwa sana?

WIVU NI KIDONDA
 
Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!...
Kinacho waumiza ni vile mnahangaika kupata hela yakula wakati mwenzenu stage hiyo kishaipita muda.Pia yakupasa ufaham kuwa diamond anaishi maisha ya kisaniii...yaani anafuata protocol za wanavyotakiwa kuishi wasanii waliofankkiwa..Biashara ya music ni tofauti na biashara za kina mo na bakhresa.

Muziki ni kuji brand kupitia kuonyesha mafanikio yako kwa mashabiki na wadau wa mziki ili kulinda maslahi yako.

Kiufupi nikwamba hebu angalia life style ya wasanii matajiri duniani...Rick rose juzi kati kanunua ndinga kali na kaionyesha dunia nzima.Pia kujiita Rich forever sio kwamba ni mjinga.Tuache wivu na chuki ili nasi tufanikiwe.
 
endeleeni kumtia moyo ndugu yenu

Ila hakikisheni mnavaa kondomu
Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.

Bongo kuna vichekesho sana.[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom