Watu hawana shida nae! Shida ni pale wanyonge wanapoumizwa na serikali yeye anawatungia nyimbo kuwa wacha akae kimya!mkuu diamond ni celebrite hayo anayo yafanya ya kuonyesha mihela kujigamba ni moja ya sehemu ya kazi yake inavyotaka, hayo mavitu ndio yanaongeza thamani ya msanii hata makampuni yanapomfuata kutangaziwa bidhaa zao hayaendi kinyonge,
Nenda kaangalie kwenye page ya wizkid juzi kati hapa anapost mihela yake tu,
Hivi haumuonagi Mayweza anayo yafanya, kina Davido na wengine kibao.,
kwahiyo mkuu diamond kusema wasafi ni yake (Hata kama kwenye makaratasi haipo hivyo) kwako ni kosa? Kwani hiyo radio/tv inatumia jina la nani? Unaanzaje kusema wasafi sio yake wakati unaona inatumia brand name yake(diamond)
Kwahiyo diamond kuonyesha anahela wewe kwako nikosa kubwa sana?
WIVU NI KIDONDA
Shida ni kuungana na watesi ...
Shida ni yeye kuchukia wenzake!!
Shida ni kutosamini michango ya mashabiki wake akiamin hawana mchango kwake