Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Maasai attire, this is how we do it.
1625854171439.png
 
Tuzo zishatolewa kila mtu kapata alichostahili, kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanaaandaa Album ya dunia huko Marekani, wewe umekalia tuzo mpaka leo, team Kibakuli wamechanganyikiwa ahahahahahah haha
 
Watu wanaaandaa Album ya dunia huko Marekani, wewe umekalia tuzo mpaka leo, team Kibakuli wamechanganyikiwa ahahahahahah haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Tuzo si zishatolewa? Au Album inahusu nin na tuzo? Kwani huko mlienda kwa ajili ya Album au tuzo? Hahahahah kimeumaaaaaana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Tuzo si zishatolewa? Au Album inahusu nin na tuzo? Kwani huko mlienda kwa ajili ya Album au tuzo? Hahahahah kimeumaaaaaana.
Tumeenda kwa ajili ya vyote tuzo na kuandaa Album ya dunia, au unafikiri kukaa Marekani ni sawa na kkoo kwa kibakuli ahahahahaha bajeti ilishaandaliwa mwambie Kibakuli ataendelea kuangalia sana wenzake kwa TV wakiwa Marekani
 
Back
Top Bottom