Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Unatoa mifano ya akina Justin Timberlake vipi ungetumia mifano ya akina Rick Ross and the likes, kwa kifupi majority ya celebrities wana hulka ya showoff hivi hiyo trend hata Sadala ameikuta na ataiacha. It's part of the game whether you like it or not, mfano wa Mo ni wa kipumbavu kabisa kwani yeye si msanii.Mkuu Ashakum si matusi ila hii ni mindset ya kipumbavu.
Being an artist sio lazima ufanye show off. Show off ni utoto na ushamba. Pitia kwenye Instagram ya Taylor Swift, Ed Sheran, Justin Timberlake uone kama wanaposti sijui magari n.k! na wanapendwa vibaya sana
Tengeneza muziki mzuri, jibrand, connect na your fans inatosha, sio lazima uoneshe magari yako sisi yanatuhusu nini. Kushow off ni sawa unawakomoa watu wanaonunua muziki wako na kukusupport. Its nonsense.
Alafu mbona kina Mo wana mipunga mingi na hawana show off? Ushawahi kuona simu ya Kusaga?
Kimachonishangaza ana show off Bongo hii hii ambayo kuna watu wanaacha kunnua chakula waweke bando wakastream ngoma zake. Nonsense!
Showoff unazoona ona ni ushamba yeye ndiyo strategy yake na inamlipa hivyo kama ataiacha kwa sababu ya kelele za haters ndiyo itakuwa ni ushamba, aendelee kuwa focused na kuamini strategy na instincts zake kwani ndiyo vimemumfikisha alipo sasa mpaka watu wanaojifanya intellectuals wihangaika kumosoa na kutamani aporomoke kisanaa wanamfanya topic kwa kupoteza muda wao wakimjadili huku mioyo yao imejaa chuki dhidi yake.