Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.

Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya burnaboy [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hahah kazi za maskini ndio hizi Sasa😂😂... Anyway Dua la kuku halimpati mwewe
 
Watu hawana shida nae! Shida ni pale wanyonge wanapoumizwa na serikali yeye anawatungia nyimbo kuwa wacha akae kimya!
Shida ni kuungana na watesi ...
Shida ni yeye kuchukia wenzake!!
Shida ni kutosamini michango ya mashabiki wake akiamin hawana mchango kwake
Wanyonge gani waliumizwa? Wewe ulitunga wimbo gani kupiga kelele.
 
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.

Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya burnaboy [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Diamond ana wivu na nani?
 
People can always learn a hard way!!!
 
Nasikia Mzee Abdul Jana kalala usingizi murua kabisa.

Baada ya diamond kukosa tuzo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mama dangote kapost muhemko wake, kapewa za uso na wana, huko aliko anajuta kuwafahamu wa Tz.
Acha kujidanganya wewe za uso umpe mama Dangote humjui hakujui ahahahahha team Kibakuli mnapenda kujiaminisha ujinga sana
 
Back
Top Bottom