cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya kapewa alichostahili relaaaax.Wazungu ndio wamemnominate, au ulijua wana shida na kanzu za Kibakuli ahahahhahah ah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya kapewa alichostahili relaaaax.Wazungu ndio wamemnominate, au ulijua wana shida na kanzu za Kibakuli ahahahhahah ah
Ndio ndio anajipanga tena mwakan tena, mwambie Kibakuli anunue kifurushi aendelee kutuangalia ahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya kapewa alichostahili relaaaax.
Sijawahi hata kesha kwenye page yake huyo mama dangote, wala hata sihangaiki nae mie, ile siku niliona post yake ndo nkaingia kusoma zaidi nkakutan na vimbwanga vya wana, kheee mbna makasiriko mengi vipi kwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe ulete humu habari ya mama dangote halafu unatuuliza sisi ukeshe ugundue nini? ahahahha kati ya wewe na mama Dangote nani anaangaika na mwenzie? ahahaha mashabiki wa Kibakuli ahahaha
Sawa sawa wala hakna shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio anajipanga tena mwakan tena, mwambie Kibakuli anunue kifurushi aendelee kutuangalia ahahahahaha
Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahahSawa sawa wala hakna shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahahSawa sawa wala hakna shida![]()
![]()
![]()
![]()
Habari ulete wewe tukasirike sisi? awa mashabiki wa Kibakuli vip ahahahha, nimekuuliza wewe na mama Dangote nani anaangaika na habari za mwengine? ahahahahahahSijawahi hata kesha kwenye page yake huyo mama dangote, wala hata sihangaiki nae mie, ile siku niliona post yake ndo nkaingia kusoma zaidi nkakutan na vimbwanga vya wana, kheee mbna makasiriko mengi vipi kwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza boli bas, [emoji23][emoji23][emoji23]Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahah
Sijawahi kuhangaika nae mie, [emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh kwa kuteseka.Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahah
Habari ulete wewe tukasirike sisi? awa mashabiki wa Kibakuli vip ahahahha, nimekuuliza wewe na mama Dangote nani anaangaika na habari za mwengine? ahahahahahah
katika wanamuziki woote unamfahamu huyo tu? kuna jambo basiMaumivu anayo kibakuli na uzee ule tuzo anazo 2 na yale magloves ya East Africa, Diamond kabati limejaa
Kuwa mchawi sio lazima upae kwenye ungo, mleta uzi we mchawi tuu kama wachawi wengine.
Bila shaka boli lako limetulia kwanza kabla ya kutoa ushahuri kwa wengine ahahahahahaTuliza boli bas, [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunatupa jiwe gizani ukisikii yalaaa ujue tayari, team Kibakuli ndio wanaangaika sana na Mondi ahahahhahahkatika wanamuziki woote unamfahamu huyo tu? kuna jambo basi
Nani kaleta habari ya mama Dangote humu? ahahahahaha ndio kuteseka huko wewe unaangaika na mtu asie angaika na weweSijawahi kuhangaika nae mie, [emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh kwa kuteseka.
Kwanini siwezi kuwasogelea hata mita tanoHuyu mjomba anavyopenda show off, nimeona mavideo huko YouTube anapewa hugs na Swizz beat, Alicia Keys, Dj Khaleed, Rick Ross. Yaani hao watu we huwezi kuwasogelea hata mita tano tu. Hizi chuki nyingine ni ukosefu wa elimu tu. Na ndio mtaburuzwa sana kwa upumbavu wenu
Uchawi siyo lazima uwe unaua watuNisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.
Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya Burnaboy [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Zaidi soma: BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua
Bado hujanijibu swali languUmsogelee Alicia Keys utaanzia wapi?
Wapi binamuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23]Si kashaweka wazi hisia zake Jaman , mi mwenyewe mchawi kama yeye , nimefurah kama nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relaaaaax.Bila shaka boli lako limetulia kwanza kabla ya kutoa ushahuri kwa wengine ahahahahaha
Tuzo zishatolewa kila mtu kapata alichostahili, kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23][emoji23]Nani kaleta habari ya mama Dangote humu? ahahahahaha ndio kuteseka huko wewe unaangaika na mtu asie angaika na wewe