fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 537
- 556
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania...
Kweli kabisa kuna watu wana roho mbaya.Daa mkuu kwel umefurahi yaan mpaka umeamua kuweka uzi kabsa,hyo furaha imezidi kikomo[emoji119]
Nimesikitika sana DIAMOND kukosa tuzo, tuzo ingemkumbusha kuwa siku moja hizo fedha na mali ataziacha WATU WAGAWANE KWENYE MIRADHI, tena ndugu zake ambao hata siku moja hajawahi kuwasaidia watagawana.Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania...
Kama ni hivyo basi wachawi tuko wengi, uchawi huu naupenda na nitakosana na mtu ambaye atajaribu kuutoaKuwa mchawi sio lazima upae kwenye ungo, mleta uzi we mchawi tuu kama wachawi wengine.
Mkuu Diamond ni celebrite hayo anayo yafanya ya kuonyesha mihela kujigamba ni moja ya sehemu ya kazi yake inavyotaka, hayo mavitu ndio yanaongeza thamani ya msanii hata makampuni yanapomfuata kutangaziwa bidhaa zao hayaendi kinyonge,Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!
Hata Mungu hapendi wajikwezao!..
Kinacho waumiza ni vile mnahangaika kupata hela yakula wakati mwenzenu stage hiyo kishaipita muda.Pia yakupasa ufaham kuwa diamond anaishi maisha ya kisaniii...yaani anafuata protocol za wanavyotakiwa kuishi wasanii waliofankkiwa..Biashara ya music ni tofauti na biashara za kina mo na bakhresa.Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!...
Haters mnasahau kuwa tuzo ya bet haijapunguza kitu chochote miongoni mwa vitu vilivyosababisha chuki zenu kwaa Diamond, Kumbukeni hii ni tuzo ya tatu kupotza lakini bado yupo on top. Poleni sanaKama ni hivyo basi wachawi tuko wengi, uchawi huu naupenda na nitakosana na mtu ambaye atajaribu kuutoa
Kweli kabisa kuna watu wana roho mbaya.
Binafsi namkubali D'mond kama kijana mpambanaji na anayehustle kuboresha hali yake. Kwa hilo namuombea...
Endeleeni kumtia moyo ndugu yenuHaters mnasahau kuwa tuzo ya bet haijapunguza kitu chochote miongoni mwa vitu vilivyosababisha chuki zenu kaa diamond,Kumbukeni hii ni tuzo ya tatu kupotza lakini bado yupo on top.Poleni sana
and mine tooThanks alot for the best comment
Even this deserves to be awarded for a best comment too, don't be such hater bro show loveKama ni hivyo basi wachawi tuko wengi, uchawi huu naupenda na nitakosana na mtu ambaye atajaribu kuutoa
Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.endeleeni kumtia moyo ndugu yenu
Ila hakikisheni mnavaa kondomu