Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Yaani wewe ulete humu habari ya mama dangote halafu unatuuliza sisi ukeshe ugundue nini? ahahahha kati ya wewe na mama Dangote nani anaangaika na mwenzie? ahahaha mashabiki wa Kibakuli ahahaha
Sijawahi hata kesha kwenye page yake huyo mama dangote, wala hata sihangaiki nae mie, ile siku niliona post yake ndo nkaingia kusoma zaidi nkakutan na vimbwanga vya wana, kheee mbna makasiriko mengi vipi kwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa sawa wala hakna shida
Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahah
Sijawahi hata kesha kwenye page yake huyo mama dangote, wala hata sihangaiki nae mie, ile siku niliona post yake ndo nkaingia kusoma zaidi nkakutan na vimbwanga vya wana, kheee mbna makasiriko mengi vipi kwani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ulete wewe tukasirike sisi? awa mashabiki wa Kibakuli vip ahahahha, nimekuuliza wewe na mama Dangote nani anaangaika na habari za mwengine? ahahahahahah
 
Kaa kwa kutulia Albam ya dunia iko jikoni ahahahahahah

Habari ulete wewe tukasirike sisi? awa mashabiki wa Kibakuli vip ahahahha, nimekuuliza wewe na mama Dangote nani anaangaika na habari za mwengine? ahahahahahah
Sijawahi kuhangaika nae mie, [emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh kwa kuteseka.
 
Nani kaleta habari ya mama Dangote humu? ahahahahaha ndio kuteseka huko wewe unaangaika na mtu asie angaika na wewe
 
Kwanini siwezi kuwasogelea hata mita tano

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Qwy
Nani kaleta habari ya mama Dangote humu? ahahahahaha ndio kuteseka huko wewe unaangaika na mtu asie angaika na wewe
Tuzo zishatolewa kila mtu kapata alichostahili, kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…