Nimefurahi sana Ali Kamwe na Ahmed Allli kutaka kushitakiwa,waligeuza soccer kuwa mchezo wa kijinga,vyeo vyao vifutwe

Haya mashitaka ya kijinga jinga ningekuwa hakimu mtu anayeyaleta alistahili kulipa gharama kubwa sana za usumbufu sio kukurupuka tu na utoto na ujinga
 
Jumlisha 10 bilion ya Azam..
Na simba bado hatujamshtaki huyo komwe...hapo ni sandaland tuu
GSM nae hajamshtaki Ahmed Ally, bila kusahau Sheria ngowi hajamshtaki Ahmed Ally.
 
Bodi ya Ligi iliweka kanuni ya kuwabana Wasemaji watakaongea mambo nje ya mpira. Siku hiyo kanuni inatangazwa CEO wa bodi ya Ligi alotukanwa na kupopolewa Sana. Nashangaa Leo tumerudi kushtakiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…