Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Huyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi.
Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye.
Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe kazaigoti kangu hapo kwako, akawa anacheka akijua ni akili za mlevi tu.
Baada ya muda nilikuja kumuona akiwa mjamzito, kumbe mmatumbi mmoja alikuwa alishaniwahi.
Nikabaki naumia nafsi, lakini bado alizidi kuwa mzuri na kupendeza zaidi.
Baada ya muda kama miaka miwili tulipotezana, kutokana na yeye kuwa kwenye ujauzito pamoja na harakati za kulea mtoto.
Siku kadhaa zimepita, ikabidi niende kiwanja angalau kusikiliza muziki huku nikiburudika na maji ya dhahabu, na kuona watoto wazuri wakiruka ruka.
Ilikuwa mida ya saa nane usiku, lakini huko ndani utafikiri labda ni saa mbili usiku.
Ghafla nikahisi nimeshikwa bega, mtu ananikisi shingoni, nilipogeuka ndiokumuona yule mrembo, moyo ulishtuka hatari.
Akaja kwa mbele akanikisi na kunikumbatia huku akizungusha kiuno chake kwangu.
Kusema kweli moyo ulilipuka,na kumkumbatia na kumuuliza swali ulipotelea wapi?
Ikabidi nimsogeze mezani na kumuita muhudumu amuhudumie, ingawa vinywaji vyake ni vya gharama nikajikuta naamisha salio bank kwa ajili ya kustareheka na huyu mdada aliyetekamoyo wangu.
Mbaya zaidi mwili wake ulikuwa ni wamoto sana, na ulinivuruga kweli akili.
Baada ya kunywa pombe sana ikabidi tunywe na supu ili kuweka mwili sawa.
Baadaye ikabidi tuondoke ili tukapeane penzi zito pamoja na mazungumzo ya kina.
Kwa ujumla, yule mrembo ni mzuri na alikuwa amebarikiwa.
Baada ya siku tatu tukaonana tena kwa shoo kabambe, niliichapa sana, na nilikuwa naiacha humo humo ndani nikihisi nikiitoa nitakosa utamu unaotakiwa.
Kwa sasa tunalea ka-zaigoti, ambaye atakuja kuitwa Equation x junior, na kutokana na uzuri wake, natamani nizae naye zaidi ata wanne, nitamuwekea mazingira mazuri ya kutekeleza hilo.
Sasa hivi napiga shoo kiulainiii..