Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Wewe ni mwenye akili wa pili kwenye huu uziHalafu kesho na keshokutwa mnaanza kuwatukana singo maza bure!
Wewe ni mwenye akili wa pili kwenye huu uziHalafu kesho na keshokutwa mnaanza kuwatukana singo maza bure!
Na wewe ni mwenye akili wa tatu kwenye huu uziMrembo kazurura katafuta fala kakosa, akakumbuka mafala bado wapo akakuona wakati Yuko mawindoni usiku wa manane.
Tena saa nane ya usiku anadanga
Nilijua tu mtajitokeza, mtasema hii ni AIMkuu hizi story zako mbona ni za zamani sana kama miaka 12 nyuma huko ? 🤣🤣🤣
Maana fonts format za hii mada na replies unazojibu ni tofauti kabisa
Waache watumie pesa zao ni faida Yao na familia zao Sisi hazituhusuKuna watu wamezoe kwenda sehemu zenye 'vibe' ili kukutana na watu mablimbali kwa malengo mbalimbali.
Huku nje unaweza kulalamika uchumi ni mgumu, ila kule kuna watu wanatumia fedha nyingi mpaka unajiuliza, mimi ndio mwenye njaa tu?
Unataka mchungaji wako akale wapi? huo sio uungwana.Ht mara ya mwisho kwenda kanisani skumbuki
Huyu ni mtamu sana, haachwi mtu hapa; hapa nasubiri wanajf wanichangie salio nimjengee ata nyumba.Halafu kesho na keshokutwa mnaanza kuwatukana singo maza bure!
Ndiyo kwanza nimekutana na mtu mmoja mwenye akili kwenye huu uzi ni wewe
Kwenye comment section.
Tayari ni single mazaHalafu kesho na keshokutwa mnaanza kuwatukana singo maza bure!
Ukitaka huo mchango wa kumjengea nyumba ongea na Mshana qu Binti wa zamani kwamba unatakiwa ufanyiwe operation John Hopkins Marekani hiyo hela utaipata mbona ? Usitangaze mwenyewe maana hata laki hutofikisha. Ongea na Members wenye influenceHuyu ni mtamu sana, haachwi mtu hapa; hapa nasubiri wanajf wanichangie salio nimjengee ata nyumba.
Jichangane sasa, ndiyo hutaamini.Acheni uoga, wengine uzuri wao unawabeba kwa kila kitu. Mitazamo ya kuwa si sahihi kuwa na mahusiano na singo M, mara nyingi ni mitazamo ya watu wengi wenye hofu ya maisha.
Unaweza ukazani pesa kuna sehemu wanaziokota tu , alafu wewe ndiyo hujuhi wanaokota wapi .Kuna watu wamezoe kwenda sehemu zenye 'vibe' ili kukutana na watu mbalimbali kwa malengo mbalimbali.
Huku nje unaweza kulalamika uchumi ni mgumu, ila kule kuna watu wanatumia fedha nyingi mpaka unajiuliza, mimi ndio mwenye njaa tu?
Achana na huyo mwajuma ndala ndefu, njoo huku kwenye ibada za usiku unaweza ukaopoa mali safi.Waache watumie pesa zao ni faida Yao na familia zao Sisi hazituhusu
Wanawake wana akili nyingi sana, anaweza kuwapa nyapu masela wawili kwa siku moja, hiyo ngoma kuigundua kama mimba siyo yako ni ngumu sana. 🤒.Kuna mazingira ukiyatathmini unaona ni yako, pia kutokana na uzuri wake siko tayari kumuacha muhimu nikuichapa tu.
Njoo ibadani na wewe unaweza kubahatishaMwehu ndama
Itabidi unisaidie koneksheniUkitaka huo mchango wa kumjengea nyumba ongea na Mshana qu Binti wa zamani kwamba unatakiwa ufanyiwe operation John Hopkins Marekani hiyo hela utaipata mbona ? Usitangaze mwenyewe maana hata laki hutofikisha. Ongea na Members wenye influence
Ebu tupe elimu, wana kasoro zipi?Jichangane sasa, ndiyo hutaamini.
Hii mbinu imekaa vizuri, itabidi na wengine waitumieWanawake wana akili nyingi sana, anaweza kuwapa nyapu masela wawili kwa siku moja, hiyo ngoma kuigundua kama mimba siyo yako ni ngumu sana. 🤒.
Ndo maana mimi nikiwa na ratiba ya kupata mtoto hilo eneo/mkoa lazima nimhamishe kwa mda, kisha napeleka sehemu ambayo najua kabisa tunaenda kulia mpaka mimba inapatikana.