Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
Ndo hivyo mkuu, vinginevyo, utalea mbegu za watu mpaka unazeeka.Hii mbinu imekaa vizuri, itabidi na wengine waitumie

Ndio maana wanasema kila mmoja ana siri yake katika harakati zake.Unaweza ukazani pesa kuna sehemu wanaziokota tu , alafu wewe ndiyo hujuhi wanaokota wapi .
Hii ndio asili ya kiumbe chochote cha kiume, ni kumiliki majikeHongera sana,ni kuzichapa tu,tumeambiwa sisi hao warembo.
Pia hakuna mwanaume anaeridhika na mwanamke mmoja.
Akale alipopeleka mbogaUnataka mchungaji wako akale wapi? huo sio uungwana.
NChi ina safari ndefu hiiHuyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi.
Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye.
Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe kazaigoti kangu hapo kwako, akawa anacheka akijua ni akili za mlevi tu.
Baada ya muda nilikuja kumuona akiwa mjamzito, kumbe mmatumbi mmoja alikuwa alishaniwahi.
Nikabaki naumia nafsi, lakini bado alizidi kuwa mzuri na kupendeza zaidi.
Baada ya muda kama miaka miwili tulipotezana, kutokana na yeye kuwa kwenye ujauzito pamoja na harakati za kulea mtoto.
Siku kadhaa zimepita, ikabidi niende kiwanja angalau kusikiliza muziki huku nikiburudika na maji ya dhahabu, na kuona watoto wazuri wakiruka ruka.
Ilikuwa mida ya saa nane usiku, lakini huko ndani utafikiri labda ni saa mbili usiku.
Ghafla nikahisi nimeshikwa bega, mtu ananikisi shingoni, nilipogeuka ndiokumuona yule mrembo, moyo ulishtuka hatari.
Akaja kwa mbele akanikisi na kunikumbatia huku akizungusha kiuno chake kwangu.
Kusema kweli moyo ulilipuka,na kumkumbatia na kumuuliza swali ulipotelea wapi?
Ikabidi nimsogeze mezani na kumuita muhudumu amuhudumie, ingawa vinywaji vyake ni vya gharama nikajikuta naamisha salio bank kwa ajili ya kustareheka na huyu mdada aliyetekamoyo wangu.
Mbaya zaidi mwili wake ulikuwa ni wamoto sana, na ulinivuruga kweli akili.
Baada ya kunywa pombe sana ikabidi tunywe na supu ili kuweka mwili sawa.
Baadaye ikabidi tuondoke ili tukapeane penzi zito pamoja na mazungumzo ya kina.
Kwa ujumla, yule mrembo ni mzuri na alikuwa amebarikiwa.
Baada ya siku tatu tukaonana tena kwa shoo kabambe, niliichapa sana, na nilikuwa naiacha humo humo ndani nikihisi nikiitoa nitakosa utamu unaotakiwa.
Kwa sasa tunalea ka-zaigoti, ambaye atakuja kuitwa Equation x junior, na kutokana na uzuri wake, natamani nizae naye zaidi ata wanne, nitamuwekea mazingira mazuri ya kutekeleza hilo.
Sasa hivi napiga shoo kiulainiii..
Wako mbalimbali sana, mikoa tofautiNgoja aje akuumbue mbele ya mkeo utakula steel wire
NChi ina safari ndefu hii
Akale alipopeleka mboga
Mm sipo kwenye hiyo list ya wapigwaji 😂Shamba lake si ndio nyie, mnaye muwezesha aishi mjini, asomeshe watoto, anunue gari za kifahari, aende kutalii nje ya nchi, huku nyie watoa sadaka mkitembelea viatu vilivyopauka.
Usiniambie hadi leo hujawahi kusikia habari kuwahusuEbu tupe elimu, wana kasoro zipi
Nimekumiss pia!🥰
Sawa mwanetu hongera baba kVitu vizuri havipotei, vinakuja kwa wakati wake, kama wewe hapo.
Utasombwa na el nino mkuu, now days naona umeinvest mapenzi sana!Haya mambo hayahitaji ubahili, unatakiwa uwe na ujasiri ata wa kuhonga kiwanja.
Hahahaaaa utapeli... huo hakuna sadaka za ukombozi YESU alisha maliza!Tuendelee kuabudu kwenye mahema huku tukiendelea kutoa sadaka za ukombozi wa familia na uchumi
Hahahhhhhh yuko kwenye ubora wake mkuu....Jitu zima hovyoo
Kuacha humo humo ndani ni uongo. Kiufupi umetupiga kamba.Huyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi.
Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye.
Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe kazaigoti kangu hapo kwako, akawa anacheka akijua ni akili za mlevi tu.
Baada ya muda nilikuja kumuona akiwa mjamzito, kumbe mmatumbi mmoja alikuwa alishaniwahi.
Nikabaki naumia nafsi, lakini bado alizidi kuwa mzuri na kupendeza zaidi.
Baada ya muda kama miaka miwili tulipotezana, kutokana na yeye kuwa kwenye ujauzito pamoja na harakati za kulea mtoto.
Siku kadhaa zimepita, ikabidi niende kiwanja angalau kusikiliza muziki huku nikiburudika na maji ya dhahabu, na kuona watoto wazuri wakiruka ruka.
Ilikuwa mida ya saa nane usiku, lakini huko ndani utafikiri labda ni saa mbili usiku.
Ghafla nikahisi nimeshikwa bega, mtu ananikisi shingoni, nilipogeuka ndiokumuona yule mrembo, moyo ulishtuka hatari.
Akaja kwa mbele akanikisi na kunikumbatia huku akizungusha kiuno chake kwangu.
Kusema kweli moyo ulilipuka,na kumkumbatia na kumuuliza swali ulipotelea wapi?
Ikabidi nimsogeze mezani na kumuita muhudumu amuhudumie, ingawa vinywaji vyake ni vya gharama nikajikuta naamisha salio bank kwa ajili ya kustareheka na huyu mdada aliyetekamoyo wangu.
Mbaya zaidi mwili wake ulikuwa ni wamoto sana, na ulinivuruga kweli akili.
Baada ya kunywa pombe sana ikabidi tunywe na supu ili kuweka mwili sawa.
Baadaye ikabidi tuondoke ili tukapeane penzi zito pamoja na mazungumzo ya kina.
Kwa ujumla, yule mrembo ni mzuri na alikuwa amebarikiwa.
Baada ya siku tatu tukaonana tena kwa shoo kabambe, niliichapa sana, na nilikuwa naiacha humo humo ndani nikihisi nikiitoa nitakosa utamu unaotakiwa.
Kwa sasa tunalea ka-zaigoti, ambaye atakuja kuitwa Equation x junior, na kutokana na uzuri wake, natamani nizae naye zaidi ata wanne, nitamuwekea mazingira mazuri ya kutekeleza hilo.
Sasa hivi napiga shoo kiulainiii..
Kajaribu, inawezekana kama una hisia nayeKuacha humo humo ndani ni uongo. Kiufupi umetupiga kamba.