Nimefurahi sana mchepuko wangu kunijulisha ana ujauzito wangu.

Uwepo wako wewe hapa duniani, nimatokeo ya mapenzi au sera?
Ni fikra kwenye jambo la kufikirika, ingekuaje ingekua siku Moja kabla au saa Moja kabla,.... mbegu nyingine tofauti toka kwa baba au bi mkubwa angechepuka... mind you tunaongelea upande unaoweza kutoa options zaidi ya 500 millions mara Moja kama Mzee na mchepuko wakipiga bao tatu unaweza kuona inafanya Mimi kuwepo si matokeo ya mapenzi au sera ila permutation!
 
Katika Mambo yote sijaona kama unaongelea masuala ya ndoa na umemuita mchepuko pale juu. Sasa unapiga shoo na unataka kumzalisha wanne vipi kuhusu ndoa au kummiliki kihalali na kisheria
 
Hadi nimeona wivu au basi...
 
Katika Mambo yote sijaona kama unaongelea masuala ya ndoa na umemuita mchepuko pale juu. Sasa unapiga shoo na unataka kumzalisha wanne vipi kuhusu ndoa au kummiliki kihalali na kisheria
Huwezi kummiliki binadamu anayejitambua, ndio maana kuchepua hakuishi ingawa watu wamefunga ndoa. Kinachotakiwa ni upendo tu, upendo ukiisha kila mmoja aelekee anakojua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…