Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu.

Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo.

Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
 
acheni utapeli, mlizokula hazitoshi tu? mjue sgr haijakamilika
 
Mama Samia ana upendo sana....

Alikwenda kule hospitali Nairobi...

Alikwenda pia kule ulaya kumtembelea mh.Tundu Lissu...

Mama Samia analiponya taifa[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
lamoja nayote hayo jamaa yenu hana shukurani, anazusha maneno ya hovyo eti alitaka kuhingwa na abdul, kijana mwenyewe hata kwa lissu hapajui, ukimuuliza nani alimwambia msigwa, ovyo, mwambieni ukiheshimiwa jiheshimu vinginevyo tutamweka kundi moja na mzee kisauji wa tiktok
 
Back
Top Bottom