👊👍Hayupo.
Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
Ni kwa sababu ni mwanamke mkuu....Ila sio sawa, kweli wanamuita Mama ila ni kwa ajili ya Cheo chake naona wala sio umri
Sawa ila mimi namzidi umri aniite mwanangu au kaka?Ni kwa sababu ni mwanamke mkuu....
Sixties !!Ila sio sawa, kweli wanamuita Mama ila ni kwa ajili ya Cheo chake naona wala sio umri
acheni utapeli, mlizokula hazitoshi tu? mjue sgr haijakamilikaFuraha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu.
Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo.
Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
ndiyo, lissu ana mambo ya kitoto kama abdulKila mtu anamuona sawa Abdul.
Wewe nitakublock maana there is nothing from you ! tafuta maana ya neno hili nincompoopacheni utapeli, mlizokula hazitoshi tu? mjue sgr haijakamilika
lamoja nayote hayo jamaa yenu hana shukurani, anazusha maneno ya hovyo eti alitaka kuhingwa na abdul, kijana mwenyewe hata kwa lissu hapajui, ukimuuliza nani alimwambia msigwa, ovyo, mwambieni ukiheshimiwa jiheshimu vinginevyo tutamweka kundi moja na mzee kisauji wa tiktokMama Samia ana upendo sana....
Alikwenda kule hospitali Nairobi...
Alikwenda pia kule ulaya kumtembelea mh.Tundu Lissu...
Mama Samia analiponya taifa[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤭Sawa ila mimi namzidi umri aniite mwanangu au kaka?
Naamini alikwenda kuona kama tayari au bado,siyo kila anayejifanya mwema ni mwema kweli.Mama Samia ana upendo sana....
Alikwenda kule hospitali Nairobi...
Alikwenda pia kule ulaya kumtembelea mh.Tundu Lissu...
Mama Samia analiponya taifa[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app