Nimefurahishwa na Kitendo cha Ntobi kuvuliwa Uongozi, lakini hayuko Peke yake, kama Sheria ni msumeno basi kuna Wanaofuatia

Sisi kama Wanachadema tunaendelea kuangalia watakalofanya Wajumbe. Maamuzi yoyote ambayo yataonesha kuwa Chama kimeanua maamuzi kiuonevu, Kwa kuingiliwa na CCM kama ambavyo baadhi ya Viongozi tunafahamu wanaendeshwa Kwa rimoti na CCM ama Kamati Kuu kukosa uimara katika usimamizi wa Chama kitatufanya tukiache Chama Hiki. Uchaguzi huu ni kipimo Cha CHADEMA ni Chama Cha Watanzania ama kakikundi ka watu wachache waliohongwa
 
Hata wewe Erythrocyte inabidi ufukuzwe kwa sababu hapo awali ulijipambanua wazi wazi kuwa ni timu Mbowe😁😁
 
Njmegundua hata mtoa hoja na wewe ni mnafiki tu yaani kidagaa Ntobi kimefutwa uongozi halafu TAL mnakuja kumfukuza uananchama. Kweli siasa za Kiafrika ni kuthamini matumbo yenu tu.

TAL anaundiwa ZENGWE aisee siasa za Kiafrika ni kichefuchefu sana. 😏😏😏
 
Akina Ntobi na Yericko Nyerere.
 
hawa wenda wamelewa pesa mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…