Nimefurahishwa na Kitendo cha Ntobi kuvuliwa Uongozi, lakini hayuko Peke yake, kama Sheria ni msumeno basi kuna Wanaofuatia

Wewe upo upande upi??
Pro-Machame au Pro-Ikungi???
 
Wala Rushwa hawataki kukemewa.
 
Em tuwekee hapa tuyaone hayo matusi na watu walio yatoa
 
Wataje ili nasi tujiridhishe kama ni kweli.Acha kupotezea watu muda.

Msema kweli kama Tundu Lissu huwa anapendwa na Mungu na wanadamu.
Tundu Lissu hatoguswa hata chembe
 
Kwamba viongozi wa ccm wao hawatukani bali wanatukanwa tu?
CCM ndiyo kuna watuksnaji wakubwa hadi ndani ya bunge wanatukana, Serukamba alimtukana mtu ndani ya bunge kumwambia f*** you,Msukuma alimtukana Lowasa kuwa alijinyea jukwaani, bumunda Nape pia alimtukana Lowasa,Samia alimtukana Profesa Mkenda,list ni ndefu.
 
 

Attachments

  • 1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…