Gamic
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 1,156
- 2,271
Wataje ili nasi tujiridhishe kama ni kweli.Acha kupotezea watu muda.Mbona wanatukana kila mahali, au huna macho?
Msema kweli kama Tundu Lissu huwa anapendwa na Mungu na wanadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataje ili nasi tujiridhishe kama ni kweli.Acha kupotezea watu muda.Mbona wanatukana kila mahali, au huna macho?
Wewe upo upande upi??Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Wala Rushwa hawataki kukemewa.Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Halafu wana solidarity ya ajabu si unaona maccm yanavyomuunga mkono Sultan MboweWala Rushwa hawataki kukemewa.
Kwamba viongozi wa ccm wao hawatukani bali wanatukanwa tu?CHADEMA wengi mbona matusi ndio jadi Yao.
Walianza kwa kutukana viongozi wa CCM na serikali mkawatetea, Leo wamewageukia ninyi mnalialia.
Tutamvua umaarufu wake uchwara wa uandishi wa vitabu vyake uchwara kwa kucopy na kupaste kazi za watu wengine.Ntobo kavuliwa Uenyekiti Sasa Yeriko utamvua nini? 😂😂
Mtamvua " Makaratasi ya Yeriko"😂Tutamvua umaarufu wake uchwara wa uandishi wa vitabu vyake uchwara kwa kucopy na kupaste kazi za watu wengine.
Tundu Lissu hatoguswa hata chembeWataje ili nasi tujiridhishe kama ni kweli.Acha kupotezea watu muda.
Msema kweli kama Tundu Lissu huwa anapendwa na Mungu na wanadamu.
Niko ChademaWewe upo upande upi??
Pro-Machame au Pro-Ikungi???
CCM ndiyo kuna watuksnaji wakubwa hadi ndani ya bunge wanatukana, Serukamba alimtukana mtu ndani ya bunge kumwambia f*** you,Msukuma alimtukana Lowasa kuwa alijinyea jukwaani, bumunda Nape pia alimtukana Lowasa,Samia alimtukana Profesa Mkenda,list ni ndefu.Kwamba viongozi wa ccm wao hawatukani bali wanatukanwa tu?
Tundu Antipas Mughwai Lisu anafuata gentleman 🐒
Haya mazombie ya CCM yakisikia jina la Lissu mavi yanagonga chupu na kurudi ndaniHuyo Simba mna-m-mind sana. Bila shaka anawanyima sana usingizi!
Weka hapa au acha uchocheziMimi ninayo orodha na matusi yao pia
Ninayoyaona mimi ni matusi kwako wewe yaweza kuwa mambo mazuri, ni kama huyu Ntobi anavyopinga kuenguliwa.Weka hapa au acha uchochezi
Sasa hivi mnamlia timing tu, lisu akishinda na yeye mtamtimua? 😆View attachment 3196766
Nakucheki tu.
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na Mshikamano, Kwa sababu Kuna maisha baada ya Uchaguzi .
Kwa Bahati Mbaya Ofisi ya Katibu Mkuu ilinipuuza na kuwaachia watu wateme nyongo zao, Imekuja kustuka ikiwa muda ushapita, na kiukweli pande zote zinakashifiana, Lissu anapiga Spana kwa kusaidiwa na wanaomuunga mkono, na huku Wapambe wa Mbowe nao wakipiga spana upande wa pili, hakuna penye afadhali.
Siku zote Minyukano kwenye Chama kilicho hai ni ishara ya kukomaa kwa Demokrasia ndani ya Chama hicho, Lakini kushambuliana kwa kuvuka mistari ya Katiba ya Chama huo ni Uhuni na hatutakubali, Chadema siyo genge la Wavuta bangi.
Naunga Mkono Kuondolewa kwa Ntobi kwenye uongozi kwa kukiuka maadili ya Chama, kama Alijivunia Cheo chake mbona Wenyeviti wengine wa mikoa hawatukani, kwani wao hawahusiki na Uchaguzi huu au wao ni Wajinga?
Sasa maadam tumeamua kuadhibu Watovu wa nidhamu basi tusiishie kwa Ntobi pekee, tushughulikie na wengine wote wanaofahamika, Orodha yao ipo wazi kabisa na mimi ninayo.
Kikubwa ni kwamba Watakaposhughulikiwa tusianze kulialia na kuleta lawama, kama Katiba ya Chadema ni moja basi panga lililotumika kufyeka Ntobi, Lifyeke na Watukanaji wengine.
Mungu Ibariki Chadema.
Hapana yale makaburi mliyoyachimba hazikwi mtu chungeni tu msije mkatumbukia mkiwa mumelewa.Sasa hivi mnamlia timing tu, lisu akishinda na yeye mtamtimua? 😆