Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na vinavyokamilishana.
Hapo awali Nimekuwa naona kuwa THE BIG FOUR (RAIS, MAKAMU RAIS, PM na KATIBU MKUU KIONGOZI) haikuwa timu bora pale Ikulu. Wote nina CV zao.
Almost, tulikuwa na IKULU inaongozwa na wahandisi watupu. Sasa ameingia political scientist.
Matarajio yangu ni kwamba ataifanya timu hii ya the BIG FOUR kuimarika zaidi.
Napongeza kwa sababu hiyo pekee. Mengine naendelea kuyatafiti.
Namkaribisha Dk Bashiru Sumbawanga nimfundishe kuendesha helikopta ya ungo katikati ya kimbunga.