Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.

Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!
 
Kashfa mwanzo mwisho!! Huna hata jambo jema moja la kuzungumza kuhusu teuzi hizi, we kila kitu kina walakini - kisa? Teuzi zimefanywa na Dk. Magufuli ya nini kum-support, mkatishe tamaa ili mipango yake yote iparaganyike!!
 
Umeongea vema ila hukumalizia. Kwenye political science kuna swali hili: who should guard the guardians? Thomas Madson alikuwa kinara wa mjadala huu. Nikuulize: assume Katiba Mpya ilipitishwa mwaka ule. Je, katiba hiyo ingekuwa tiba ya matatizo tuliyo nayo leo? Jawabu langu ni hapana! Kila ninaposoma ile rasimu natikisa kichwa. Haikidhi vigezo vyangu kichwani...
 
Hivi Wahandisi wroteni wanasayansi au wanasayansi wrote ni Wahandisi..!? Kwa muelewa wangu, Rais Wetu siyo Mhandisi

Pointi yangu ilikuwa ni kuchora msitari kati ya natural scientists vs social scientists. Natural scientists wanaongozwa zaidi na mechanistic theories of management. Na social scientists wanaongozwa na humanistic theories of management. Google hizo terms itaelewa pointi yangu.
 
Alikua analeta ngumu mzee kuongeza muda nini?

Naona mwenyekiti anakwenda kuwapangua wote, Bashiru, Polepole na Mangula.

Baada ya hapo ana activate his inner mobuto to the fullest

Kumuondoa Mangulla pale ni kosa ambalo JIWE atakuja kulijutia; huyo ndio Mzee peke yake ambaye sio mnafiki hapo ccm, kwahiyo akitoka fitina zitavunja ungo!!! You need someone who knows the history of the party , hao wakina Polepole ni wasanii wasiokijua chama hivyo hawawezi kumsaidia Mwenyekiti.
 
Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!

Pointi yako iko sawa. Ndio maana tuna kitabu toleo la kwanza, la pili, etc wakati mwandishi ni yule yule. At time t1 anakuwa na mawazo x, na at time t2 anakuwa na mawazo y, na at t2 x inaweza kuwa kinyume cha y.
 
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.

Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu teamwork.

Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na vinavyokamilishana.

Hapo awali Nimekuwa naona kuwa THE BIG FOUR (RAIS, MAKAMU RAIS, PM na KATIBU MKUU KIONGOZI) haikuwa timu bora pale Ikulu. Wote nina CV zao.

Almost, tulikuwa na IKULU inaongozwa na wahandisi watupu. Sasa ameingia political scientist.

Matarajio yangu ni kwamba ataifanya timu hii ya the BIG FOUR kuimarika zaidi.

Napongeza kwa sababu hiyo pekee. Mengine naendelea kuyatafiti.

Namkaribisha Dk Bashiru Sumbawanga nimfundishe kuendesha helikopta ya ungo katikati ya kimbunga.
 
Attachments

  • IMG-20210226-WA0121.jpg
    IMG-20210226-WA0121.jpg
    55.4 KB · Views: 2
  • IMG-20210226-WA0121.jpg
    IMG-20210226-WA0121.jpg
    55.4 KB · Views: 2
Hiyo timu ya wahandisi ni sawa na timu kidimbwi, imebadilisha makocha kila siku na kununua wachezaji wa bei mbaya lakini uchezaji Umebaki ule ule-sare kila kukicha

Mh! Mbona hukumu imekuja kabla timu haijacheza?
 
Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.

Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!
 
Mama Amon hiyo picha uliyoweka kwenye profile indio wewe? au ndio zile picha zetu za kudownload
 
Heri ya mwaka huu Mama Amon[emoji120]!
 
Nimefurahi sana kupata nafasi ya kupima utendaji wake Kama mtendaji, ... ule muda wa kutoa matamshi, maonyo na makaripio Sasa kwake umepita ... TIME FOR HIM TO DELIVER NOW!
👊😅✌️💥
 
You are advised to qualify your claim. Mie naona kuna ma-nadharia fulani ameyaleta field mwaka jana yakatusumbua sana. Nadhani ma-theory hayo ndo yamempiga tafu hadi uteuzi huu. Naendelea na utafiti.
Hii fasihi nimeielewa mno! Tic tac za 2020
Diplomatic immunity ya Kibalozi, aah!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom