Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.
Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
Kashfa mwanzo mwisho!! Huna hata jambo jema moja la kuzungumza kuhusu teuzi hizi, we kila kitu kina walakini - kisa? Teuzi zimefanywa na Dk. Magufuli ya nini kum-support, mkatishe tamaa ili mipango yake yote iparaganyike!!Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.
Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
π€£π€£Hatarii na nusuWanasayansi wasio amini sayansi unadhani wanaweza kuyaamini mawazo ya mwanasiasa aliyesoma political science, science isiyo na maabara?
Hivi Wahandisi wroteni wanasayansi au wanasayansi wrote ni Wahandisi..!? Kwa muelewa wangu, Rais Wetu siyo Mhandisi
Alikua analeta ngumu mzee kuongeza muda nini?
Naona mwenyekiti anakwenda kuwapangua wote, Bashiru, Polepole na Mangula.
Baada ya hapo ana activate his inner mobuto to the fullest
Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na vinavyokamilishana.
Hapo awali Nimekuwa naona kuwa THE BIG FOUR (RAIS, MAKAMU RAIS, PM na KATIBU MKUU KIONGOZI) haikuwa timu bora pale Ikulu. Wote nina CV zao.
Almost, tulikuwa na IKULU inaongozwa na wahandisi watupu. Sasa ameingia political scientist.
Matarajio yangu ni kwamba ataifanya timu hii ya the BIG FOUR kuimarika zaidi.
Napongeza kwa sababu hiyo pekee. Mengine naendelea kuyatafiti.
Namkaribisha Dk Bashiru Sumbawanga nimfundishe kuendesha helikopta ya ungo katikati ya kimbunga.
Hiyo timu ya wahandisi ni sawa na timu kidimbwi, imebadilisha makocha kila siku na kununua wachezaji wa bei mbaya lakini uchezaji Umebaki ule ule-sare kila kukicha
Hebu msikilize kwanza hapa uone kama anafaa kuwa kiongozi kweli View attachment 1712626
Huwa nilishasema haitakaa itokee ninaamini mwanasiasa. Wanazo ndimu zao wenyewe na ni wepesi kupinga baadhi ya ndimu.
Hebu acheni hizo basi! Tatizo mnataka afanye mnayoyataka ninyi pasi kujua akili ni nywele...na misimamo ya mwanadamu ni 'dynamic' inabadirika kulingana na mazingira na wakati! Ninyi mnaomtaka Bashiru wa 2010 awe sawa na 2021 mjitathmini!Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.
Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
Thank you. Edited. "Ndimi".Ndimu?
Hii fasihi nimeielewa mno! Tic tac za 2020You are advised to qualify your claim. Mie naona kuna ma-nadharia fulani ameyaleta field mwaka jana yakatusumbua sana. Nadhani ma-theory hayo ndo yamempiga tafu hadi uteuzi huu. Naendelea na utafiti.
ETI mwanasayansi anaemini NYUNGU NA NIMCARF(Hata linavyoadikwa sijui)Wanasayansi wasio amini sayansi unadhani wanaweza kuyaamini mawazo ya mwanasiasa aliyesoma political science, science isiyo na maabara?