Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba.

Uimara ,ushupavu na umadhubuti wa chama ni pamoja na namna kinavyofanya maamuzi yake ,utolewaji wa matamko yake, misimamo yake , uendeshaji wa vikao vyake na maamuzi ya vikao vyake. Chama imara ni pamoja na kujua nani anapaswa kujibiwa na nani hapaswi kujibiwa na kama kujibiwa ajibiwe na nani na wa level au ngazi ipi na yupi Apuuzwe na kuachwa tu.

CCM kiasili na kihistoria hakijawahi kuyumbishwa au kutetereshwa au kutishwa na mwanachama wake au mtu yeyote yule ajaye ndani ya chama au nje ya chama. CCM haijawahi kutetemeshwa na mtu yeyote yule hapa Nchini au nje ya Nchi. Hakuna mtu wa kuitisha CCM na wala mtu huyo hajazaliwa na kamwe hatazaliwa wa kuitisha CCM. CCM inaweza kukuacha ukaongea utakavyo ,ukaropoka utakayo ,ukatapika mitapishi yako ya mimaneno na ikakukalia kimya tu bila kukujibu chochote kile na ikaendelea na mambo yake kwa utulivu na umakini kwa mujibu wa kanuni ,sheria ,katiba na miongozo mbalimbali ya chama .

CCM siyo chama au kikundi cha taarabu cha kujibizana hadharani. CCM ina kanuni zake na taratibu zake. CCM haitishwi na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi. CCM ni chama kinachoishi mbele ya wakati ambapo chochote utakacho taka kufanya aidha kwa kutumiwa na watu kutaka kukihujumu au kuleta mpasuko au kukigawa kinakuwa tayari kinajua mipango yote na wahusika wote walionyuma ya mipango hiyo ovu.

Hakuna mpango au mikakati ovu inayoweza kuifanya kuihujumu CCM isijulikane mbele ya CCM. Kupanga mipango miovu gizani dhidi ya CCM ni sawa na kupangia mipango hiyo sokoni mkiwa na vipaza sauti. CCM ni zaidi ya chama ,ni zaidi ya CIA au FBI ya Marekani,ni zaidi ya mfumo. CCM siyo mtu au kikundi au genge . CCM ni Dude Moja kubwa sana ambalo huwezi kujua yupi ndiye chama au yupo ndiye wa kummaliza .

Ndio maana huwezi kushindana na hiki chama ukashinda.huwezi kuishinda CCM hata kwa kutumia nguvu za giza au uchawi. CCM ni dude ambalo hata wakisema lishike huwezi kuelewa limeishia wapi na limekita wapi mizizi yake maana kwa kadri utakavyofuatilia kwa undani utajikuta unachanganyikiwa mwenyewe.

Nawakumbusheni tena ya kuwa CCM ndio Tanzania yenyewe na Tanzania ndio CCM yenyewe. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili. Uhai wa CCM ndio uhai wa Taifa letu. CCM ina mikono mirefu kwelikweli ambayo ikikunjus hata robo yake tu inaweza kufikia popote pale ambapo unahisi ni sirini au mbali au gizani. CCM ina macho kama ya paka ya kuona hata vya gizani. CCM likijikunjua unaweza ukazimia na kupoteza ufahamu wako. Kwa hiyo nasema hivi usicheze na CCM hata kidogo maana unakuwa unacheza na uhai ,usalama na amani ya Taifa letu.

Kitendo cha CCM na serikali yake kumkalia kimya mtu anayejiita Humphrey Polepole kimenikosha ,kunifurahisha na kuukonga moyo wangu. Kwa sababu huyu mtu haja hadhi wala hastahili hata kidogo kujibiwa na chama au serikali yetu tukufu. Ni mtu ambaye haki yake ni Kupuuzwa tu na kumuacha aendelee kutapatapa kama mfa maji tu. Ni mtu ambaye kwa akili yake ndogo na upeo wake mfupi na kudanganywa kwake aliyekuwa anafikiria atajibiwa ili aendelee na upuuzi wake wa kuleta taharuki na mgawanyiko hapa Nchini.

Sasa amejikuta katika msongo mkubwa wa mawazo baada ya kuona kupuuzwa na anaendelea kupuuzwa kwa kila jambo analokuja kuongea hadharani.amekuta chama hakina habari naye wala serikali haina muda naye . Anashangaa kuona chama kikiwa Bize na majukumu yake na ratiba zake huku serikali yetu ikiwa Bize na kujikita katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Kwa sababu inakuwa ni ujinga kujibizana na mjinga ambaye anafanya ujinga ili wote mjadili ujinga wake na upuuzi wake badala ya kujikita kwa mambo ya msingi na yenye tija. Polepole ataendelea kupuuzwa na mwisho wa siku ataishia kupata maradhi ya mfadhaiko tu na msongo wa Mawazo na asipokaa sawa anaweza kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya kwa lengo ya kupoteza mawazo.

Hii ndio maana ya chama imara huzaa serikali imara . CCM imara imezaa serikali Imara.Ndio maana chama hakiyumbishwi na wala serikali yetu haitetereshwi wala kuyumbishwa. Huyu mtu aendelee kupuuzwa tuu na wala asijibiwe na chama wala serikali.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni Chagua bora zaidi kwa Serikali na CCM kwa wakati huu kuendelea kuchutama! Elewa neno Kuchutama!!!!
 
Hata kuzima mitandao ya Facebook na YouTube akiwa anaongea ni jibu tosha kuwa kuna kitu hamtaki watu wajue.

Kama angekuwa kapuuzwa na hawana nia ya kumjibu wasingezima mitandao.

Kwanini wazime mitandao?
 
Kuzima mitandao ni hali ya kuweweseka na hofu na kuogopa kuambiwa ukweli, hivi kwanini akiongea mnazima mitandao? Na wewe unapataje muda wa kumfuatilia kama Pole Pole ana jipya
Wa kumjibu polepole na sisi wanachama na siyo viongozi wetu. Maana haja hana na wala haeleweki kwa yeyote yule.
 
Hata kuzima mitandao ya Facebook na YouTube akiwa anaongea ni jibu tosha kuwa kuna kitu hamtaki watu wajue.

Kama angekuwa kapuuzwa na hawana nia ya kumjibu wasingezima mitandao.

Kwanini wazime mitandao?
Kwa sasa amebakia anashangiliwa na wasiojitambua na wajinga jinga tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba.

Uimara ,ushupavu na umadhubuti wa chama ni pamoja na namna kinavyofanya maamuzi yake ,utolewaji wa matamko yake, misimamo yake , uendeshaji wa vikao vyake na maamuzi ya vikao vyake. Chama imara ni pamoja na kujua nani anapaswa kujibiwa na nani hapaswi kujibiwa na kama kujibiwa ajibiwe na nani na wa level au ngazi ipi na yupi Apuuzwe na kuachwa tu.

CCM kiasili na kihistoria hakijawahi kuyumbishwa au kutetereshwa au kutishwa na mwanachama wake au mtu yeyote yule ajaye ndani ya chama au nje ya chama. CCM haijawahi kutetemeshwa na mtu yeyote yule hapa Nchini au nje ya Nchi. Hakuna mtu wa kuitisha CCM na wala mtu huyo hajazaliwa na kamwe hatazaliwa wa kuitisha CCM. CCM inaweza kukuacha ukaongea utakavyo ,ukaropoka utakayo ,ukatapika mitapishi yako ya mimaneno na ikakukalia kimya tu bila kukujibu chochote kile na ikaendelea na mambo yake kwa utulivu na umakini kwa mujibu wa kanuni ,sheria ,katiba na miongozo mbalimbali ya chama .

CCM siyo chama au kikundi cha taarabu cha kujibizana hadharani. CCM ina kanuni zake na taratibu zake. CCM haitishwi na maneno ya uzushi ,uongo na uchonganishi. CCM ni chama kinachoishi mbele ya wakati ambapo chochote utakacho taka kufanya aidha kwa kutumiwa na watu kutaka kukihujumu au kuleta mpasuko au kukigawa kinakuwa tayari kinajua mipango yote na wahusika wote walionyuma ya mipango hiyo ovu.

Hakuna mpango au mikakati ovu inayoweza kuifanya kuihujumu CCM isijulikane mbele ya CCM. Kupanga mipango miovu gizani dhidi ya CCM ni sawa na kupangia mipango hiyo sokoni mkiwa na vipaza sauti. CCM ni zaidi ya chama ,ni zaidi ya CIA au FBI ya Marekani,ni zaidi ya mfumo. CCM siyo mtu au kikundi au genge . CCM ni Dude Moja kubwa sana ambalo huwezi kujua yupi ndiye chama au yupo ndiye wa kummaliza .

Ndio maana huwezi kushindana na hiki chama ukashinda.huwezi kuishinda CCM hata kwa kutumia nguvu za giza au uchawi. CCM ni dude ambalo hata wakisema lishike huwezi kuelewa limeishia wapi na limekita wapi mizizi yake maana kwa kadri utakavyofuatilia kwa undani utajikuta unachanganyikiwa mwenyewe.

Nawakumbusheni tena ya kuwa CCM ndio Tanzania yenyewe na Tanzania ndio CCM yenyewe. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili. Uhai wa CCM ndio uhai wa Taifa letu. CCM ina mikono mirefu kwelikweli ambayo ikikunjus hata robo yake tu inaweza kufikia popote pale ambapo unahisi ni sirini au mbali au gizani. CCM ina macho kama ya paka ya kuona hata vya gizani. CCM likijikunjua unaweza ukazimia na kupoteza ufahamu wako. Kwa hiyo nasema hivi usicheze na CCM hata kidogo maana unakuwa unacheza na uhai ,usalama na amani ya Taifa letu.

Kitendo cha CCM na serikali yake kumkalia kimya mtu anayejiita Humphrey Polepole kimenikosha ,kunifurahisha na kuukonga moyo wangu. Kwa sababu huyu mtu haja hadhi wala hastahili hata kidogo kujibiwa na chama au serikali yetu tukufu. Ni mtu ambaye haki yake ni Kupuuzwa tu na kumuacha aendelee kutapatapa kama mfa maji tu. Ni mtu ambaye kwa akili yake ndogo na upeo wake mfupi na kudanganywa kwake aliyekuwa anafikiria atajibiwa ili aendelee na upuuzi wake wa kuleta taharuki na mgawanyiko hapa Nchini.

Sasa amejikuta katika msongo mkubwa wa mawazo baada ya kuona kupuuzwa na anaendelea kupuuzwa kwa kila jambo analokuja kuongea hadharani.amekuta chama hakina habari naye wala serikali haina muda naye . Anashangaa kuona chama kikiwa Bize na majukumu yake na ratiba zake huku serikali yetu ikiwa Bize na kujikita katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Kwa sababu inakuwa ni ujinga kujibizana na mjinga ambaye anafanya ujinga ili wote mjadili ujinga wake na upuuzi wake badala ya kujikita kwa mambo ya msingi na yenye tija. Polepole ataendelea kupuuzwa na mwisho wa siku ataishia kupata maradhi ya mfadhaiko tu na msongo wa Mawazo na asipokaa sawa anaweza kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya kwa lengo ya kupoteza mawazo.

Hii ndio maana ya chama imara huzaa serikali imara . CCM imara imezaa serikali Imara.Ndio maana chama hakiyumbishwi na wala serikali yetu haitetereshwi wala kuyumbishwa. Huyu mtu aendelee kupuuzwa tuu na wala asijibiwe na chama wala serikali.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taka taka. Wachumia matumbo katika ubora wenu.
 
WEWE TAPELI RUDISHA PESA ZA SAMA ULIZOMTAPELI KWA GIA YA KUFANYA BIASHARA YA VIPURI !

Lucas Mwashambwa WEWE NI TAPELI,NIMEKUONYA MARA KADHAA URUDISHE HICHO KIASI CHA PESA LAKINI UNAJITIA KICHWA NGUMU !

SUBIRI TU DAWA YAKO INACHEMKA TAPELI WEWE!
 
Debe tupu
 
Hamna hoja za kumjibu. Ndo maana hata Gwajima mama yako badala ya kujibu hoja zake alitoa mipasho tu na kufungia kanisa lake.
 
CCM WAMEKESHA KUZIMA MITANDAO UNATAKA MUJIBU GANI WANAMUOGOPA KAMA MUNGU
 
Back
Top Bottom