Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

kufungia mitandao ni hofu kubwa na jibu pia la uwoga
 
Hamna hoja za kumjibu. Ndo maana hata Gwajima mama yako badala ya kujibu hoja zake alitoa mipasho tu na kufungia kanisa lake.
Sasa wewe na akili zako timamu unaweza vipi kuanza kumsikiliza na kumuunga mkono mtu aina ya Gwajima?
 
Nadhani hata ninyi mnaona kuna umuhimu wa kuwa na hii emoji "🖕" kwenye hizo reaction Emojis, li-uzi kama kama hili ni una-react tu hivi 🖕, unaendelea na mambo mengine ya msingi
 
Sasa wewe na akili zako timamu unaweza vipi kuanza kumsikiliza na kumuunga mkono mtu aina ya Gwajima?
NI mzalendo aliyekerwa na utekaji katika nchi ambayo ina Rais, ambapo huyo Rais wananchi wake wakiuawa anasema kifo ni kifo tu
 
Hana hoja halafu anawababaisha mpaka mnazima mitandao?
Hahahaa

Inaitwa minyia kwa ndani

I repeat - the day we stop giving politicians umuhimu wasiostahili na kufocus on vision ya nchi kupitia serikali ndio tutatoka
 
Nadhani hata ninyi mnaona kuna umuhimu wa kuwa na hii emoji "🖕" kwenye hizo reaction Emojis, li-uzi kama kama hili ni una-react tu hivi 🖕, unaendelea na mambo mengine ya msingi
Testing 🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽

It’s working
 
Hahahaa

Inaitwa minyia kwa ndani

I repeat - the day we stop giving politicians umuhimu wasiostahili na kufocus on vision ya nchi kupitia serikali ndio tutatoka
Acha kukenua, and stop diverging from the question. Polepole has no impact to you, you dont mind about him, why shut down the internet?
 
Tangia lini umeanza kujitambua wewe?
Unafikiri mimi ni wewe unayelilia mfanano wa jina la member kwenye hii forum?

Ungekuwa unajitambua ingekuwa kipimo kidogo tu kujua policy za forum kabla ya kujiunga sio kujionyesha ulivyo zezeta.
 
Usipende kumtajataja Samia nyakati za usiku, ujue mwenzio usiku huu anachezea dyudyu la Mzee Ameir
 
Hilo ni li pumbavu tu furani hivi,kwa hiyo unaona alicho sema akina maana kisa unataka teuzi?
 
Back
Top Bottom