Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yaani kana kwamba hajaenda shule.

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yaani tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jamani, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jamani, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.
 

aiseee! yaan nimecheka hatar!
kwa hiyo so kidgo tu anakumaliza na status zake..........! :A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…