Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Hata hivyo nafkiri atakua yupo njiani anakuja na hapa pia, mimi huwa najiuliza kwanin mtu kila tatizo lako untaka watu wajue, mfano ile siku ya akina mama duniani utakuta mtu hamkumbuki mama yake siku zote, ila ikifika ile siku ndio mapenzi yana zidi kwenye mtandao, eti utamskia mtu "i love you my momy no one like you" nani kasema upendo ni wasiku moja kama sio unafiki
 
Ni kweli aisee wazo zuri kwa kweli
Hilo wazo mimi naona lita kucost sana, hivi radio call bei zake si ni kubwa au? sababu simu hata 10000 unapata radio call je? ulizia bei kwanza kama poa mnunulie
 
Kama tatizo ni whatspp kaa nae chini mwambie anachokifanya haukipendi, nadhani atakuelewa

Nishamuonya sana mdau ila hanielewi kwa hyo kwenda nae sawa ndo nikaamua maamuzi hayo
 
Hilo wazo mimi naona lita kucost sana, hivi radio call bei zake si ni kubwa au? sababu simu hata 10000 unapata radio call je? ulizia bei kwanza kama poa mnunulie

Au tumzawadie kitochi mdau
 
Kibaya zaidi ukute huyo mama hajui hata maana ya internet...


Hata hivyo nafkiri atakua yupo njiani anakuja na hapa pia, mimi huwa najiuliza kwanin mtu kila tatizo lako untaka watu wajue, mfano ile siku ya akina mama duniani utakuta mtu hamkumbuki mama yake siku zote, ila ikifika ile siku ndio mapenzi yana zidi kwenye mtandao, eti utamskia mtu "i love you my momy no one like you" nani kasema upendo ni wasiku moja kama sio unafiki
 
Kibaya zaidi ukute huyo mama hajui hata maana ya internet...

Ni graduate kabisa mdau yan bac tu hata mi simwelewi yan nashangaa alikotoa hzo tabia coz makuzi yake ni ushuwani
 
Lisemalo lipo mkuu, kama una tabia ya uzinzi bora uiache, mke wako anapenda kukwambia lkn amaogopa kukuface physically...
 
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.
Akikuekea Umalaya utakuua mueke..Yalikushinda ndio nikafata Malaya......
 
Back
Top Bottom