miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mmmh!!! mbona jana nimetoka kupimwa na dakitare kaniambia nina akili nyingi hadi inabidi nianze kugawia wengine...
Ha ha ha sawa bwana nigaie
mmmh!!! mbona jana nimetoka kupimwa na dakitare kaniambia nina akili nyingi hadi inabidi nianze kugawia wengine...
Huyu labda anakuwa tu na hamu na mipasho ya status za watu...sasa kuna mipasho mingine yamgusa!!!
Hata hivyo wabongo wengi hawajui matumizi ya "status bar" kwenye IM kama Whatsapp...
Wengi wamezibadilisha na kuzifanya kama dashboards za kupigana vijembe, kumsimana mtu n.k...
Ukitaka kumkomoa zaidi mfute na kitandani.
Mimi kumbe bado mshamba? Status yangu mimi ni ileile tangu nianze kutumia wasapu. Kumbe kuna watu mko bize na wasapu? Realy? Serious?
Wewe nae binamu leo hii unajua kiswahili kunizidi mie????.....lol.Upo lakini?
Hilo wazo mimi naona lita kucost sana, hivi radio call bei zake si ni kubwa au? sababu simu hata 10000 unapata radio call je? ulizia bei kwanza kama poa mnunulie
Kuna watu ofisini nasikiaga wakisema ooh msanii fulan kaweka status hii whatsapp Mara picha ile mwingine atakwambia umeona status na profile pic yangu whatsapp? Ha ha ha wabongo akili bado Sana huyo zukerbeg aneweka na sehemu ya like maana wajinga wanahangaika sana
Nishamuonya sana mdau ila hanielewi kwa hyo kwenda nae sawa ndo nikaamua maamuzi hayo
unamsusia muhaya senene??Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule, Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.
Teh teh teh
Halafu hizi akili ndo zitaleta maendeleo TZ...
Ha ha ha usishangae Sana mkuu maana ukisikia mengine utazimia Kama Yale
ya BMK kutaka wanaume watetewe haki zao kwenye katiba wasionewe na wake
zao...
Aisee tunatisha,!!!!![/QUOTE
kesho ataweka hii:
kuliko kioze bora nimpe jirani.
Kuuliza si ujinga huenda mimi nimepitwa na wakati, kwani zile status za wasapu nazo ni za watu kucomment? Maana mimi nachukulia tu tag ya wisdom words au mtu ajuwe mimi ni mtu ninaeamini nini.
Thats why status yangu wasapu ni moja tu na sijawahi kubadiri pia magroup kwenye wasappu sitaki pia sipendi kuwa mtumwa wa simu yangu mwenyewe.
umeona eeeh!!Ili Ujumbe afikishiwe na wamjuao hahahahaaaa
Tobah kwani whatsapp ndo nini mie mgeni hapa!!
Ha ha ha sawa bwana nigaie
Tobah kwani whatsapp ndo nini mie mgeni hapa!!