Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Yako ama?
... kwenye chupi
... kwenye chupi
Tatizo sorry lkn simu yako Nokia Torch hiyo Whatsap utaijulia wapi?Tobah kwani whatsapp ndo nini mie mgeni hapa!!
Tatizo sorry lkn simu yako Nokia Torch hiyo Whatsap utaijulia wapi?
huna akili ha ha ha hahamnyang'anye simu halafu mnunulie redio kolu...
S5 umesahaku kuimalizia modelHapo sana wewe mwenye Samsung Galaxy unieleweshe hahahahahah :cool2:
tena akijua kama huoni status zake , ndo ataweka mpk jina kabisa
si alikua anaweka "umalaya utakuua"
saivi ataweka "mume wangu umalaya utakuua"
Ukitaka kumkomoa zaidi mfute na kitandani.
Sasa vicheche mmekutana kila status ikibadilishwa unadhani dongo lako madongo mengine ya mme mwenza huko we ng'ang'a jua lako kila wakati huko phone book save contact majina laki 9.:angry::angry:
Sasa vicheche mmekutana kila status ikibadilishwa unadhani dongo lako madongo mengine ya mme mwenza huko we ng'ang'a jua lako kila wakati huko phone book save contact majina laki 9.:angry::angry:
najiuliza hivi MTU mpaka ukafukunyue status za whatsapp unatafuta nini......
huna akili ha ha ha haha
Acha tabia chafu uone kama ataweka
Pia usikute nae mchepuko anaweka mishambo kumchamba mkeo nae anajibu maana mambo mengine yanakera