Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Kwa hali hii mnakoelekea ni kubaya zaidi!!! Rekebisheni haraka sana!!! If at all unaihitaji ndoa yako.
 
hata ukifuta akikusudia kurusha sms si atarusha tu, mke kama huyo inahitajika umzoee tu
 
Mfute kabisa hata kwenye kale kacheti mlikopew msikitini au kanisani au serikalini hapo ndio itakuwa umemkomesha hasa ataacha
 
Huyo ni mke au JIKE? hilo ni janga la kitaifa basi mnadi kabisa wadau wamnunue.
 
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.

mlikutana wapi mpaka mkaoana mkuu?
 
hahaaaa bado kidogo atakuvalia kanga imeandikwa "raha ya mume muwe wanne"

Cc watu8 na Tyta kwa kapicha ka hii kanga
 
Last edited by a moderator:
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.

Hukutakiwa kufuta Namba ya mkeo au yeyote, solution ni ku-delete application ya whatsapp toka kwenye Simu yako.....


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Teheeee hizi ndoa hizi... simu ikiita unaanza kujiuliza namba ya nani tena hii... oooh waifu...! Lol
 
Kazi ipo,kwa hiyo umeshindwa kabisa kuongea nae abadilike?
Kama Vp mfute na moyoni tu!
 
Ungrmfuta hata kitandani kaka ili liwe fundisho kwa akina Mama wengine!

Kumfuta tu kwenye simu haitoshi!Akikupa "chakula ya ndoa" wewe kataa ili ajue kama umechukia kweli kweli
 
Back
Top Bottom