Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

hahaaaa bado kidogo atakuvalia kanga imeandikwa "raha ya mume muwe wanne"

Cc watu8 na Tyta kwa kapicha ka hii kanga

Mpwa hiyo hapo...

kanga.jpg
 
Ushamba wa mtu utaujua kupitia vitu afanyavyo kwenye mitandao ya kijamii
 
We kuandikiwa maneno tu ushaumia, je unavyofanya umalaya unadhani mwenzio anaumia kiasi gani??
 
Na hiyo WASSAPU mbona itawaua.
Mana siku hizi hata kuomba mawasiliano ya kawaida mtu unaona aibu.
Utasikia ''upo Whatsap!???''
sasa kama jibu ni haupo kama mimi jiandae kuwa ignored kwa your ordinary texts kutokua replied,ama callz kutokua picked.
Watu wanataka kila kitu Whatsap lohhhh.jaman mawasiliano mawasiliano tu acheni mbwembweeeeeeeee.
I love my Nokia i205 no whatsap,no shit!!
 
Ili usizione kabisa tupa simu yako. Rudi enzi za ujima
 
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.

ndoa yako ina matatizo... rudini kwa wa wazee kila mtu aseme lililomoyoni mwake mbele ya wazee! ... mambo yatakaa sawa mungu akipenda..
 
status zile achaga tu zinachekesha, zinaboa, zinafariji kijinga, mbaya zaid unakuwa na namba ya mke mwenza huko lazima ukose pozi mmfyuuuu.......
ila kwa niloweka saiv hahahaaaaa itamaliza mwaka
 
Asante mdau nafikiri bora kufanya hvo ila mi cyo mtaalam sana wa haya mambo ya cm natumia note 3 vp inaweza kufanya hvo

Yes..mkuu...mimi natumia HUAWEI ACCEND 730 lkn nadhani CM zote ziko namna hiyo chakufanaya kwanza muaD nmba zake then hapo chini ya CM upande wa kulia kuna vimstari = bonyeza then kuna maneno mengi click ilipoandikwa MORE then inakuuliza unataka kumBLOCK huyo mtu kubali then hadith inaishia hapo...
 
Yes..mkuu...mimi natumia HUAWEI ACCEND 730 lkn nadhani CM zote ziko namna hiyo chakufanaya kwanza muaD nmba zake then hapo chini ya CM upande wa kulia kuna vimstari = bonyeza then kuna maneno mengi click ilipoandikwa MORE then inakuuliza unataka kumBLOCK huyo mtu kubali then hadith inaishia hapo...

Pamoja mdau
 
Na ww jifunze tarabu uwe una reply status zake mpaka aachee...!!!
 
Back
Top Bottom