Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi


Nimecheka sana mkuu nimebidi ni mute kazi kwanza Hapa aisee
 
daddy hata hakimnyang'anya haitasaidia kwani tabia ya mtu huweizi kuibadilisha mpaka yeye mwenyewe atake
cha kufanya yeye akae naye amwambie hapendi tabia ya aina hiyo ndipo mkewe atamwelewa hapo au ikishindakana
awaite wale wasimamizi wake wa ndoa aongee nao pamoja nadhani hapo atashikwa na aibu na kujirekebisha

yote ikishindana basi amwombe Mungu atambadilisha hayo ni mambo ya busara hakuna kingine
MWANADAMU AKIHARIBIKA AMEHARIBIKA TU HUWEZI MZUIA KWA CHOCHOTE DADDY

mnyang'anye simu halafu mnunulie redio kolu...
 
Nachukia saana hii kauli hawa watu ni kuwaelimisha tu siku zote mpaka siku wanakata kauli?

Nimecheka sana ndg yaani ukiwa na mke darasa halipaswi kukoma hadi cku wanafukiwa khaa....hii nimeikubali sana..
 
Kuna binti kagombana na mumewe anaandika whatsapp tu badala ya kumpa makavu muhusika mpaka ugomvi umekua mkubwa.
Alafu mkuu inaonekana umpi nafasi ya kukukosoa live anakuogopa sasa anakupa dawa juuu kwa juu kama mgonjwa wa Ebola.
 

Daaah yaaani umenigusaa haswaaa. Mimi ni mwanamke lakini sipendi kabisa watu wa aina ya mkeo.Kuna ndugu yangu ( mdada) ana tabia kama za mke wako. Mpaka nikawa najiuliza ana akili timamu ama. Ila nimegundua ni stress, mwingine anaona akiandika ndio kama anapata relief. Pia inawezekana kuna baadhi ya wanawake wako emotional hawawezi kuficha hisia zao, hivyo anamalizia hasira zake kwa kuweka status za ajabu anajua utaiona.

Huyo ndugu yangu nilipojaribu kumrekebisha asiwe anaandika status za ajabu akaiweka hii kwenye status yake 'nilifikiri unafanya yako, kutwa kufatilia status zangu. Zinakuhusu nini' yaani nilichoka.
Sasa hivi nimeamua kumblock.
 

Asante kwa ushuhuda mdau
 
Hapana cyo cky zote mdau mara mojamoja walau cyo mbaya coz usipofanya hvo u gona loose confidance ya kutongoza aisee

Ha ha ha haaaaaa,,,,,,,!!! Nimecheka sana kiongoz
 
Yan we acha tu mdau wanawake hawa kboko waweza pata bp aisee

Yaap...kuishi na Mwanamke inataka maarifa kweli kweli.....Vinginevyo vikao havitaisha kwenye mabaraza,,,!!
 

Mi wangu kaweka picha ya dadaake hivi niko nahangaikia papuchi ya dadaake sijali
 
Mi wangu kaweka picha ya dadaake hivi niko nahangaikia papuchi ya dadaake sijali

Duh,,,,,!! kwahiyo mkuu unataka kumgegeda shemejio? hawezi kukinukisha zaidi? au cjakuelewa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…