Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe
Asanteni
mshamba_hachekwi 🤣🤣Ukisema uchukulie serious kila kinachosemwa humu JF hutaweza hata kupumua[emoji23] “akili za kuambiwa changanya na zako”
Umepotea ndugu kama akili zako ni hizo utaumia vibaya, kimsingi nashauri hadi sasa hauko salama, aina ya uogo huo tayari hujiamini, kondom huwezi unapenda mtelezo laini 🤣🤣🤣Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe
Asanteni
Sio njombe tu iringa yote.Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe
Asanteni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchagua kumah si mtombajih
KabisaKm ukimwi, ndo uko sehemu zote kwa sasa, usimuamini mtu kwa macho, pima nae.