Nimegoma Kuwa Mnyonge Mbele ya Polisi

Safi sana...
 
Hahaaa vichwa maji aka polisi , hahaaaa Simbachawene aliwaambia polisi haiitaji waliofaulu , halafu utakuta Hilo li Fala Lina F7 yaani fafafafafafafa
 
Sio siri jamaa wanakera sana barabarani...kuna kipindi walikamata kosa la seat cover kama inechanika mimi nikadhani utani....askari mmoja akanambia ni kweli siku hz kuna makosa ya ajabu lkn yapo...
Nilikuja amini pale Canter yetu ilipokamatwa x2 zikalipwa alfu 60

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Polisi sehemu nyingi duniani ndio wako hivi
 
Upuuzi
 
Mtakuja kufa kijinga nyinyi Watu Wamevurugwa na Maisha Na nyie mnawaletea fedheha mbele ya familia zao"
Hapa ndipo walipoharibu sijui polisi huwa wanatumia busars za wapi. Gari ni chombo kinachotembea na chenye usajiri wa kisheria mtu hawezi kukimbia. Walipaswa wakusikilize kwanza upeleke watu then kama kuna shida hizo nyingine sheria itafata mkondo.

Mwisho wa siku wanakutana na mtu kama hamza inakua historia.
 
Botswwn
Botswana wamestaarabika. Vipi huko wskati wa uchaguzi wanakuwa kama hawa wakwetu?
 
Hii post yako imekuwa na funzo kwetu sote polisi na raia pia.
 
Wabongo tumezid kuwapa hawa jamaa vichwa, wanafanya chochote wajisikiacho ikiwa tu wakikusimamisha ukasimama, shortly wakikusimamisha ukasimama tayari hilo ni kosa namba one, huwez achiwa bure.
 
Botswwn

Botswana wamestaarabika. Vipi huko wskati wa uchaguzi wanakuwa kama hawa wakwetu?
Hapana mkuu siishi huko nipo hapa hapa nchini ila nimebahatika mno kusafiri ndani ya nchi hii, chaguzi zao hazina migogoro na nilikua navutiwa mno na president wao ,mara nyingi alikua anatumia usafiri wa pikipiki (ride himself)na akiingia uwanjani anajichanganya na raia, Botswana wapo Safi sana mkuu, kwenye Army check points ndio pits stop za kulala usiku!,je unaweza park gari pale Lugalo Barracks na kuwaomba wale sentry kuwa unataka kulala!hii ni debate for another time
 
Polisi sehemu nyingi duniani ndio wako hivi
Acha kuhalalisha ushenzi na ukatili huu,Zambia tu hapo check points zipo Safi kabisa, na wazee sisi wa road trips ndio tunawekaga pit stops (na za jeshi pia),Namibia wapo safi, SA wapo Safi unaweza kuendesha kutoka mother city hadi Egoli city bila ya kuingia kwenye road blocks yoyote (1400kms),Botswana ni A1 police na jeshi lao,Tanzania police wetu hili jeshi linahitaji kufanyiwa total overhaul, tuanze upya ikiwa na kuachana na hizi uniform za kikoloni, joto la Dar police wa kiume wave pensi, shirt jepesi, mkanda na service 🔫 kwenye kiuno, rangi za uniform iwe light blue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…