Nimegoma Kuwa Mnyonge Mbele ya Polisi

na ww mtafute siku yupo off duty alaf mpige mikwara akileta mdomo mtwange vilivyo alaf potea kwan nn kesi za kupigana hutakaa ndani sana ila heshima itakuwepo
 
Kama umemshika sura kamweleze rco juu ya hayo matamshi.
 
Namba za huyo askali ziandike hapa tumshughulikie aondolewe huo u traffic. Traffic kazi yake siyo kukomoa
 
Siku ukimuona hakikisha unamhonga mpaka afe. Kisha kimbia na gari. Ukifanikiwa kuvuka mpaka tokomeazako Somalia huko. Sipendi dharau
 
Namba za huyo askali ziandike hapa tumshughulikie aondolewe huo u traffic. Traffic kazi yake siyo kukomoa
nyie ndio wale maboss wapenda majungu.

mnapenda sana chawa nyinyi.
 
Kama ULIGOMA KUWA MNYONGE, maana yake ni kwamba wewe ni mnyonge na ulistahili kuwa mnyonge mbele yake.

Kwa mfano, mwanafunzi anapokataa kuchapwa viboko na mzazi au mwalimu wake, anakuwa amegoma kwa sababu mwalimu au mzazi anayo haki ya kumchapa mtoto au mwanafunzi, ilhali mtu huyu naye vile vile anastahili kuchapwa viboko na mwalimu au mzazi wake

Unakuwa umegoma pale tu inapotokea ume-resist kufanya vile ambavyo unatakiwa au unastahili kufanya au kufanyiwa
 
NAKUUNGA MKONO....LIKIJA KIBOYABOYA UA KABISA MANYAN'GANYI HAYO

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ukihitaj nguvu ya ugomvi usisite kunitafuta usikubali unyonge wakijinga askali wa barabaran anakutishia mji mdogo huo ni uzembleee
 
Kwa nilivyomsoma yeye hakuwa na shida nao ila wao ndio wameanza kumtisha...hata akiachana nao bado ataonja joto la jiwe
Hapana.Bado anapaswa asiondolewe kwenye focus yake.After all,mkuu wao anajua hilo neno.Kutafuta miugomvi siyo issue mpenzi wangu Khantwe!
 
Pole sana mkuu.Binadamu ni mtu mbaya sana.

Na siku zote mpole na mkorofi hawakai sehemu moja.ila sumu ya mpole inapopata na kuwa jua hata yule mkorofi atamkimbia.

Rudi kwa mkuu wake umwambie maana ikitokea chochote atakuwa na la kuzungumzia.

Mi mwenyewe sipendi uonevu pasipokuwa na kosa.ukinifanyia mi naweza kukuchinja mchana kweupe.nikishindwa nitawamaliza hata watoto wako ,napenda kuishi kwa amani na kuwaheshimu watu wote,maana nikipandisha hasira nakuwa kama tembo
 
Mi nakushauri mumalize mapema kabla hajakumaliza

Hawa jamaa huwa wajinga sana.

Ukihitaji msaada wa kumpoteza nicheki 0759589007
Kuna mmoja nataka umvunje miguu tu ...sitaki uondoe uhai wa mtu...unaweza??
 
Akiomba leseni uwa namwambia nimeiacha ofisini au nyumbani ila ninayo (kisheria unaruhusiwa kuipeleka ndani ya siku mbili), na sishuki kwenye gari
Huwa ni saa 72 mkuu. Ukweli Polisi huwa hawatumii akili sawa sawa! Hao waliokuwa wamepanda kwenye gari si ndio huwa wanatekwa hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…