Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

ndo umwambie mwenzako sasa kama umemkubali, maana sio kwa staili hii ya kufikisha ujumbe 😂😂😂😂😂🙌
 
Sijui itakuwaje Yaan🤒
Hadi joto limepanda na pressure juu..Pole sana kwa hili😂😂😂 Single mother amdatisha memba wa JF hadi kufarakanisha mahusiano ya wawili hao...😂😂😂 nafikiria story yake kichwa tayari!
 
Mura mbona kama unaomba penzi kwa mkwala na vitisho?

Ungesema tu shida yako kuliko kwanza kutanguliza hiyo Chai,eti sijui umegombana na mchumba wako,
Kwa jinsi ulivyowakilisha tu hii thd yako,unaonekana hujiamini.
 
Jamaa ilitakiwa awe direct tu🤣
 
acha kujitongozesha kwa wanawake wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…