Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

Hapo ndo akili ya mtoto inatengenezwa. Ukimuacha akilala kipindi chote cha mimba utapata mtoto kilaza dunia hii haina mfano. Bora aende kwao wamfanyishe kazi akili ya mtoto ijengeke vizuri.
 
Mkuu una utu na utulivu
 
Kama hana anachoumwa basi ni mvivu tu mkeo. Mwambie aende dukani au kama haendi basi mwambie arudi kwao.

Yeah mkuu as you said umenena vyema
the choice is his
En no more
 
Shukuru hata simu yako anapokea. Kuna mimba zingine hazitaki hata kukuona nyumbani, zingine unaamshwa usiku umchotee maji ya kunywa halafu hayanywi, na kuna zingine upendo unaongezeka zaidi yaani hawezi kukuacha ukae mbali nae hata kazini kwako mtaenda tu! 😁

Lakini usijali, hapo anahitaji care kutoka kwako. Huna budi kumvumilia. Mtreat tu vizuri.
 

Well said mkuu ndomana nikawaza huyu lazima aende kwao kweli akatulie kwanza
 
Hapo ndo akili ya mtoto inatengenezwa. Ukimuacha akilala kipindi chote cha mimba utapata mtoto kilaza dunia hii haina mfano. Bora aende kwao wamfanyishe kazi akili ya mtoto ijengeke vizuri.

Ni kweli mkuu hilo nililiwaza unavyosema kuwa huyu anavyo lala hizi na mtoto ana adapt
 
Mkuu mimi wangu ana miezi mitano, ila alokufanyia huyo ni chamtoto kabisa wangu ndo funga kazi ungempata huyu Ungeua mtu
 
Nakumbuka mama kijacho wangu enzi hizo alinambia nirudi na sanamu la posta na alikua siriazi[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] daah nimecheka kwanguvu kinouma mkuu sah ukafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…