Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

Linapokuja suala la dawa, sehemu yoyote ya mwili inaweza kuwa route of administration mkuu...

Kwa watoto, per rectal PCM ni common sana wala siyo kitu kigeni hasa hasa ukizingatia kupata mishipa kwa watoto ni kazi sana.

Umesema una watoto 3, ina maana hao wengine hawajawahi kupata joto kali maishani mwao?
 
Wamewah ila hii njia sikuwah kukutana nayo
 

Mkuu ni haki yako kuuliza, kueleweshwa, kukubali na kukataa.

Baada ya kupitia maoni mbalimbali:

Inaonekana huyo Dr. hakuwa na intravenous paracetamol. Vile vile aliona kumpa paracetamol ameza isingekuwa njia nzuri kutokana na hali ya mgojwa na kidonge cha kumeza kinachelewa kufanya kazi.

Hivyo akaona njia ya haraka kwa dawa kufanya kazi ni kumuwekea sehemu ya haja kubwa (rectal paracetamol). Hapa dr. alikuwa sawa kabisa.

Njia hii ya rectal administration kwa dawa ni common sana.
Ila sema tu ulikuwa labda huifahamu wala haina uhusiano na lgbtq+.

NB: Mgonjwa wa kike kupewa dawa kwa njia ya haja kubwa (rectal) inaweza ikawa na changamoto kubwa wakati mwingine.

Kuna cases zimeripotiwa kwa wagonjwa wa kike. Badala ya dawa kuwekwa sehemu ya haja kubwa ikawekwa kwenye sehemu ya siri ya kike. Mfano paracetamol badala ya kuwekwa rectally inawekwa kwenye vagina. Kosa hili lina madhara makubwa kwa mhudumu wa afya hasa kwenye nchi zinazo jitambua.

Kuhusu diclofenac kutolewa kwa njia ya iv.
Ni safe practice iv diclofenac ikiwa diluted kwenye Normal saline au Dextrose 5% halafu mgonjwa akapewa kwa njia ya drip.

Diclofenac inaweza akapewa mtoto mwenye umri zaidi ya miezi 6.

Kwa hiyo mkuu Ivan ulikuwa sawa kabisa kuhoji. Ila uwe makini sana hasa hali ya mgonjwa inapokuwa mbaya. Joto kali linaweza likapelekea mtoto akapata kifafa (febrile convulsions). Dawa ikiwekwa rectally inafanya kazi haraka. Na dr. aliona kumpa iv paracetamol isingekuwa njia salama.
 
Unayembishia ndo anajua kuliko ewe,
 
IPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.

Tena utalazwa kitandaoni na daktari atavaa gloves na kuanza kukutia madole kutafuta ugonjwa umekudhuru kiasi gani.

Yaonesha una umri mchache hapa duniani.
 
IPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.

Tena utalazwa kitandaoni na daktari atavaa gloves na kuanza kukutia madole kutafuta ugonjwa umekudhuru kiasi gani.

Yaonesha una umri mchache hapa duniani.
Pole mkuu. Ila haikusaidii kuwa mchawi wa kiwango.. utaanza wewe
 
IPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.

Tena utalazwa kitandaoni na daktari atavaa gloves na kuanza kukutia madole kutafuta ugonjwa umekudhuru kiasi gani.

Yaonesha una umri mchache hapa duniani.
Atapigwa madole hadi ajiulize hiki nini
 
Pole mkuu. Ila haikusaidii kuwa mchawi wa kiwango.. utaanza wewe
Hivyo vidonge wanavyoweka mkunduni ni kwa ajili ya kutibu bawasili au mgoro, na ili kidonge kiingie mkunduni lazima ujipige dole au uombe mtu akuingize na kwenye kukuingiza lazima akupige dole ila kwa wewe hawatokuwekea vidonge watakupiga tu madole yaliyopakwa mafua subiri uzeeke tezi lako dume litutumuke waende kulipasua ndio utaelewa ukigoma wasikupige madole ili walipasue kifo hiki hapa, sasa unakubari kufa au unakubari kupiga madole?
 
Zamani niliwahi kuisikia hiyo dawa, sikujua kwa nini ipitishwe humo.

Pengine ni tiba ila yaweza kuwa kichocheo cha cha yale mengine
 
Hata mimi nisingekubali !!!!! Usiniulize kwa nini ila nisingekubali!!!
 
Mkuu,

Ushawahi kukutana na wale Jehovah Witnesses ambao hawataki kuwekewa damu, hata wakiona wanakufa, wanaona ni bora wafe kuliko kuwekewa damu?

Basi na wabongo wengine nao wapo kama hao Jehovah Witnesses kwenye suala hili.

Ukiwaambia habari za puru ni kama unawapa dawa inayoingilia imani yao, kama kuna alternate bora wapewe hiyo tu kuepusha matatizo ya kimaadili ya matabibu kulazimisha dawa kinyume na matakwa ya kiimani ya wagonjwa.

Sasa siku wakiumwa bawasiri na kuambiwa wapake dawa kwenye puru au wabaki na bawasiri sijui itakuwa vipi hapo?
 
Hivi mkuu,ikitokea ana tatizo la bawasili au kidole matako na ukapewa dawa kama anusol uwe unamwokea huko tunduni Napo bado utakomaa na alternative ambavyo ni upasuaji wa tunduni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…